Ina maanisha hiyo elfu 29 au 30 ni kwa plastic 1 ya kilo 20 sawa na sh.1450 au 1500 kwa kilo.Kwa kg100 sawa na sh145000 au 150000.Hiyo ni bei ya kununua huko mbeya na c sokoni huku dar.Ila huko mbeya imeshuka.Kwa jana nimeulizia nimeambiwa kwa plstic 1 imekuwa 27000 kwa mbeya mjini,kyela imekuwa...
Kwa kukushauri nunua mchele na c mpunga ili pesa izunguke. Kwa gunia moja,garama ya kununua hadi kusafirisha kwa mfano kati ya mbeya na dar ni kati ya 135000 hadi 14000. Ukiuza unauza kati ya 160000 hadi 180000.
Kwa kila gunia kuna faida kati ya 20,000 hadi 40,000.kwa hela yako unapata gunia...
Naombeni nifahamishwe kuhusu gharama za kusafirisha mbao toka Mafinga kuja Dar es salaam. Je,unafata mtiririko upi ? Je, pia kwa mkoa wa Iringa biashara ya mitumba inalipa?
Shukrani best ! Vp uaminifu wa watu wa huko ktk kufanya nao biashara.Pia pale mpakani ktk kuvusha bidhaa kuna garama kubwa ? Inakuweje ulete vitenge wakati huko ndo vinapatikana kwa wingi ?
NDO WAHAFIDHINA WENYEWE,WANAFIKIRI KIMA------ badala kufikiri kwa ubongo ! Akiona ZZK shetani keshampanda bila hata kuuruhusu ubongo ufikiri !Walinda maslahi wa kaskazini !
Unachekesha sana ! Viongozi walipoitisha vyombo vya habari na kumpaka kwa tuhuma,alafu yeye awe ----- akazungumze chumbani ? Ni sawa akutukanae hadharani halafu wewe ukamtukane chumbani kwa kumrudishia ! Acheni kuwa na akili kwenye vifuniko vya mzee Mtei !
Kijan unaonekana unaongozwa na mihemko ya mwili huku Ukuiacha akili ifanye kazi ikiwa 05% ! Mbona hakuna tuhuza za ZZK zilizo na VIVID & CONCRAT evidence makosa yake ? Mashtaka yenu yamejaa, INADAIWA,INASEMEKANA nk. Toeni ushahidi hai wa tuhuma kama yeye alivoutoa yeye jana ! Inaonekana cdm...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.