Kaka Mimi ni mfanyabiashara wa dagaa na furu WAKAVU na WALIOKAANGWA kaka saizi masoko mengi ya huku Kanda ya ZIWA yamefurika natamani kuuingia huko nijaribu hususani kwenye maeneo ya wakulima na wafugaji WENGI hasa wasukuma tafadhali naomba kama una abc za mavijiji ya huko niambie
Je mama akizaa nje ya ndoa nae huyu mwanae atapata urithi.. sasa natafakari kama mke wa mtu achepuka na mme wa mtu kwaiyo mtoto atapata kotekote au kukosa pote?
Sawa.. kwanini si rukwa mkuu. Sababu ata mie sio mwenyeji wa hayo maeneo niliotaja ila natamani nisifanyie nje nyumbani.
Pia sio lazima biashara ya agrovet hapana nachojua me natamani nifanye kazi yeyote ambayo hataingiliana Moja Kwa Moja na vibali vya serikalini sababu mtaji Bado ni mdogo Mimi...
Habari wa WADAU
Naitwa Mr. t
Nilikuwa ninawazo la kuanzisha biashara ndogo ya agrovet Kuuza pembejeo za kilimo na mifugo mtaji wangu ni 2.5 m hapo nihela ya mzigo tu.
Dhumuni langu Nini.
1.kuna wadau humu wanajua ABC's za izi biashara
A)chimbo la bidhaa
B)mambo ya vibali ila ningetamani kuanzia...
Mambo ndo haya
Sasa
Managerial tasks
Diseases
1.leaf spot tumia madawa ya copper eg copper oxide na oxychloride
2.damping off tumia chlorothalonil, carbendazim ku prevent
3.powdery mildew tumia madawa ya sulphur
4.athracnose tumia madawa ya copper
5.fusarium wilts tumia madawa ya kukinga...
Way back
Nilikuwa farm manager kwenye mashamba ya mikorosho singida ikungi na manyoni korosho Kwa singida Zina kubali Tena sana ila itakubidi uwe na watu wa kazi wakutosha
Mwenyewe hutatoboa chukua vibarua Dodoma au kigoma ingiza kambini wape mahitaji kazi ianze
Ila itakubidi ujipange sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.