Recent content by Polyxic

  1. Polyxic

    Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

    Braking bad Nipo S3 , series nimeikubali. Event zimepangili vizuri kinoma. Top 3 -Suits -Homeland -Braking Bad Bonus Strike back Seal team
  2. Polyxic

    SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

    Tuko pamoja mkuu hii sires wameiover rate sanaaaa.. APA nipo S3 lakin naona najilazimisha sana. Na kitu kilichonifikisha mpaka s3 Ni watu wawili tu johnsnow na kale kambilikimo, kana maneno ya test flani iv basiiii... Ila kwaujumla siwezi kusema hii niseris nzuri Kama wasemavyo wengine...
  3. Polyxic

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Mwambie hatuna ubaguzi APA. Mwendo Ni likes. [emoji106]
  4. Polyxic

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Nshaipokea mkuu, asubuhi yangu itakua njema sasa..
  5. Polyxic

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Ushidwe wew tu. Nishakuchapa zakutosha.
  6. Polyxic

    ISS - Satelaiti Angavu Leo = Extremely Bright Satellite visible today

    Mkuu subir niweke reminder kabisa. Lazima niione.
  7. Polyxic

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Basi nakuchapa like tena.
  8. Polyxic

    Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Hii haifanani na ile ya like Ni kuadd kweli?
  9. Polyxic

    Ni Celebrity yupi unaetamani kutoka nae?

    Ana Kendrick star wa pitch perfect Napendaga sana anavyo achaja mdomo wazii..
Back
Top Bottom