Recent content by politburo

  1. politburo

    JamiiForums Tanzania Wa kurekebisha uvurugaji wa nchi wa miaka 10 ya JK; Migiro?

    Makamanda hamjitambui, leo hivi kesho vile
  2. politburo

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa TAKUKURU, uko wapi katika sakata la wafanyakazi wa TBL kudhulumiwa fedha zao?

    Kama huko ni X hata huku pia makinikia ni X
  3. politburo

    JamiiForums Tanzania Mikono inapiga shoti nikishika chuma chochote au hela ya sarafu (Coin)

    Inaitwa static electricity (in hands/body) fanya kugogo. Kwa wengine inatokea pia wanapofungua mlango wa gari
  4. politburo

    JamiiForums Tanzania Kifo cha Mwalimu Nyerere 14/10/1999, ulikuwa wapi?

    Shuttling between nyanda za juu kaskazini na kusini kusaka maisha...kipindi cha ukapa wa mzee Mkapa. Kiukweli nchi ilipooza kwa taarifa ya msiba huo, rais mkapa alitangaza kupitia itv/tvt kwa hisia kali msiba huo na machozi yalikuwa yakimlenga. Uliweza kuona kwa uwazi hali ya taharuki katika...
  5. politburo

    JamiiForums Tanzania Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

    Umejaza ubongo Story za vijiweni tupu
  6. politburo

    JamiiForums Tanzania Le Mutuz: Historia ya kweli juu ya maisha yangu (My American experience)

    Acha ujuaji wa google, apply hiyo kazi wewe uchukue hayo mahela. Mtu anaongelea ubaharia miaka ya 80s wewe unaleta google search za 2018
  7. politburo

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi mkuu wa kitengo cha propaganda wa CCM - Tambwe Hiza?

    Amefariki dunia
  8. politburo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya imemtimua Miguna Miguna kwa kumsafirisha kwenda Canada

    Ukiwauliza sasa hivi watageuza gia angani kama kawaida yao
  9. politburo

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa hajaacha siasa, ashughulikiwe kisiasa

    Bilionea wa propaganda unachekesha sana
  10. politburo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya imemtimua Miguna Miguna kwa kumsafirisha kwenda Canada

    Baba wa demokrasia, Kenyatta, endelea kutufunza demokrasia.
  11. politburo

    JamiiForums Tanzania Mzee Kingunge kazikwa na Katekista na alifanyiwa ibada sio misa

    Si kweli, kanisa Katoliki halijawahi fanya hivyo. Kama ni kweli taja mtu aliyefanyiwa hivyo jumuiya, parokia na jimbo lake
  12. politburo

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu za Komredi Ali Sultan Issa, al-maaruf ''Shetani''

    Historia nzuri, ila ukomunisti uliharibu fikra za wengi badala ya kuzijenga
  13. politburo

    JamiiForums Tanzania Kingunge Ngombale Mwiru: Nilitofautiana na kupata matatizo na viongozi wa kanisa Katoliki, Nikaacha kwenda Kanisani

    Alimrudia Muumba wake, hivyo yote hayo aliyoamini awali yamefutika
  14. politburo

    JamiiForums Tanzania TAAZIA: Komredi Kingunge Ngombale Mwiru (1932 – 2018)

    Mungu akupe maisha marefu gwiji wa historia Mohamed Said .
  15. politburo

    JamiiForums Tanzania Mungu ametoa funzo kupitia kwa marehemu Kingunge Ngombale-Mwiru

    When your turn comes surely your tongue shall profess His Mighty Name. As for now enjoy the moment
Back
Top Bottom