Recent content by polineta

  1. polineta

    Wakati umefika kwa CHADEMA kutangaza tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu kuwa tukio la kigaidi

    Mnaidhalilisha chadema kutangaza umbea usio na mbele wala nyuma Kama kitumbua
  2. polineta

    Wakati umefika kwa CHADEMA kutangaza tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu kuwa tukio la kigaidi

    Itawezekana Kama wataweza kumtangaza mbowe kuwa mmiliki wa saccoss wa maisha.
  3. polineta

    Sokoine University of Agriculture (SUA): Hamtambui umuhimu wenu katika Taifa hili au mmeridhika na kuwa under-utilized?

    Kabulala, Sera, Sera , Sera Policy, Policy, Policy 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
  4. polineta

    #KaziNaBata Maana yake nini? REPOST

    Zitto, Bandiko la kujipendekeza na kuomba huruma kwa wanaoitwa vijana wa kisasa👻
  5. polineta

    Ndugu zangu watanzania, Naandika kwa Uchungu Mkubwa

    Hakuna Shaka mkuu karibu Sana🙏
  6. polineta

    Professor Assad Asimulia alipokuwa

    Ulikuwepo wakati anaingia kwenye gari na ukamwona anapokea simu???
  7. polineta

    Ndugu zangu watanzania, Naandika kwa Uchungu Mkubwa

    Nimeusoma Uzi kwa uchungu Sana yani lilo mpaka Leo hujawahi fika buza,kimara,msewe uliishiaga sinza,knyama tu😔
  8. polineta

    Professor Assad Asimulia alipokuwa

    Aliposema 1.5trilion mkaona mkweli ila aliposema kisarawe alipokua mtandao unasumbua mnatia shaka😔enyi manyumbu hivi ni nani aliyewaroga???
  9. polineta

    Nichagulieni gari kwa bajeti ya Milioni 10

    Siku zote mbaazi zisipozaa husingizia mvua😂
  10. polineta

    Hatuyataki maendeleo yanayoendana na mauaji, utekaji na ubabe

    Ooooh nimekuelewa mkuu kumbe ndo akili zenu😂
  11. polineta

    Nichagulieni gari kwa bajeti ya Milioni 10

    Yamekutoka wapi hayo yote au umeachwa? Nini maana ya citation kwenye hiyo sentence?
  12. polineta

    Msimamo: Sitashiriki Misa ya Christmas kwenye kanisa ninalolishiriki miaka yote kwa vile halipigi vita utekaji

    Unaenda kanisani kumtafuta nani??? Kumtafuta Mungu au mahubiri ya kutekwa? Kilichokupeleka kanisa ni nini? Ni imani au matakwa yako?
Back
Top Bottom