Recent content by Polebashi

  1. P

    JamiiForums Tanzania Vijuza kutoka ughaibuni vinawamaliza vijana wa Arusha

    Utajua Tu WA kuja.... Hiyo no Biashara ya utalii, not necessarily mapenzi.........
  2. P

    JamiiForums Tanzania Nimeitwa ukweni Singida, mwenye kuzijua desturi za Wanyaturu

    Sidhani kama Pana mnyiramba asiyeloga, hii pia inaleta mtazamo mbaya kwa wanyaturu.... Kabla ujaenda au kuoa, chunguza hapo mahali, nenda, hemu pata mtazamo was hiyo familia.... Hata kama anasali FPCT, au Mtoto wa Bishop, kwa Singida anaweza kuwa mchawi kama kawaida....... USISEME HUKUAMBIWA
  3. P

    JamiiForums Tanzania Baba ananitenga na dada anakula matunda ya kodi,nikiwa milionea kweli nitamsaidia kwahali hii?

    Kuna Jambo: angalia yafuatayo: - alikusomesha kwa tabu hukuzingatia. - kuna makosa ya msingi sana. - Pengine wewe WA nje Ila kusema hataki..... Wazazi hasa was kiume wanapita mazoruba mengi sanaaaa....
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nimeacha kazi leo

    Kama kazi yako no kutafuta wateja wa kampuni na Una Biashara yako, Bora kutafuta wateja wa Biashara yako...... Yaweza kuwa mgumu, but yaweza kuwa ngumu as u start, jipe moyo na uwe consistent
  5. P

    JamiiForums Tanzania Wakuu, Don’t Drink and Drive! Mwenzenu ashatolewa Mfano huku

    Atatoka hiyo☺️ fuatiliya
  6. P

    JamiiForums Tanzania Wake zetu nendeni na wakati

    Mke wako, sio wake zetu.... Umezoea tabia za wadada unaolala nao Bar ndo Maana unadai.... Na yeye hivyo hivyo ila anavunga Tu. Huko nje anabinuka kabisa...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ukweli wanaume tukubali, siku hizi tumepugukiwa nguvu/hisia za kiume. Ndio maana wanawake wanajeuri ya kutembea nusu uchi

    Semea nafsi.... Nimeamka hapa mnara unasoma full, nikipata mzigo hapa dozi nitalayotoa ni sir yangu. Yangu inaamka mnara kila siku
  8. P

    JamiiForums Tanzania Crossroads: Ex wa mke wangu wanaendelea kuwa karibu na wife hadi sasa

    Uliingia kwenye hayo mahusiano kwa hila na udanganyifu ilihali na wewe upo hivyo hivyo..... Kama alimuacha jamaa wake kwa umbeya wako je kwa mini aaikuache wewe? Kajua wote MPO Sawa, vuna ulichopanda.... I wish ugundue mapema na usizae tena, hiyo ndoa inakata, au kuwa Mme bwege
  9. P

    JamiiForums Tanzania Rafiki angu kaniharibia kazi

    Wanadamu ndivyo walivyo.... Pole ujagunduabmapema
  10. P

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ushauri kuhusu MABOTO microfinance

    USIKOPE, Endeleza Biashara taratibu nawombe Mungu.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Siku nilipolazimika kutumia silaha

    Nina silaha zaidi ya miaka 7 sijawahi nenda nayo ibada...yaweza kuwa kweli ila siamini hii hadithi yako maana unalazimisha tukuamini
  12. P

    JamiiForums Tanzania Makamba, Membe, Bashiru....

    Unamuwakilisha Nani? Semea natsi yako
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kuna member wa JF hawajui kukataliwa

    I take it....
Back
Top Bottom