Recent content by pointers

  1. P

    Online Data Entry - Part Time- 2 post

    haka kazi kama hii lazima utume msg tena?
  2. P

    Halmashauri ya Wilaya ya Ilala, fungueni barabara za Tabata

    kweli kabisa aisee.....ona pale jangwani,vingunguti,tabata dampo
  3. P

    Halmashauri ya Wilaya ya Ilala, fungueni barabara za Tabata

    Meya wa wilaya ya Ilala una mpango gani na Tabata, mbona mnafunga barabara ya Vingunguti wiki sasa hamfungui mnatutesa na foleni tu, barabara ya Tabata dampo haiishi muda sasa kila siku tabu. Sasa hivi na daraja la Ukonga nalo chali....Jerry Slaa hebu okoa jahazi hapa bwana hali ni mbaya kwa...
  4. P

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    mwenye ushuhuda wa kumiliki aina hii ya gari kwa muda mrefu atupe uzoefu na sisi.....naipenda ile option yake ya 2wd na 4wd na cc zake si nyingi
  5. P

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mpaka miaka hii bado ni shida kwenye vipuri vyake?
  6. P

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Hilo la gharama ya spare ni kweli nimelisikia siku nyingi kwa upande wa X-TRAIL
  7. P

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    Mi nataka kujua kuhusu Nissan X-Trail,uzuri wake na matatizo yake kwenye matumizi ya kawaida sasa hivi naona bongo zimekuwa nyingi tofauti na zamani watu walikuwa wanaziogopa
  8. P

    Ushauri kwa waislamu Tanzania, hasa walio mtandaoni

    Duuhh kuna watu ni wadini mpaka noma...... wanatamani dunia nzima waishi peke yao bora Mungu ametufanya tunazaliwa wote sawa ingekuwa kila dini wanazaliwa rangi yao ingekuwa tabu sana
  9. P

    Mwanzo wa kudai mahakama ya kadhi Tanzania

    jaman hebu tuambieni tu umuhimu wa mahakama ya kadhi, kazi zake na mipaka yake labda tuanzie hapo kwanza
  10. P

    Nimempa ujauzito mke wa mtu

    we ndo ndo utaenda kushtak akishatuma watu wakukule TiGO yako.....
  11. P

    Wakwere, Wadengereko na Wazaramo watanipasua kichwa

    kwa hiyo unataka kutuambia kuwa kelele za maeneo yaliyoidhinishwa ni nzuri kuliko za maeneo ambayo hayajaidhinishwa????hiv pale calabash hakuna makazi ya watu kwa nyuma?? vp kona bar hakuna makazi??meeda je hakuna makazi ?? vp pale igo hakuna makazi ya watu? halaf kumbuka kelele zote hizo ni...
  12. P

    Wakwere, Wadengereko na Wazaramo watanipasua kichwa

    hapa sidhani kama ni kelele tu ndo zinazoongelewa,mbona kuna mabar kila mahali na yanapiga mziki every day ma sioni anaelalamika.sehem kama igo,kona bar,liders,calabash wote hao ni wazaramo?
  13. P

    Wakwere, Wadengereko na Wazaramo watanipasua kichwa

    vp kule sumbawanga kuna utamaduni mzuri sana kule mbona hatuendi kuhamia huko, mtu anatoka singida nae eti anawaponda watu wa pwani duuu, mtu anatoka tarime hata kurudi kwao ni ishu ardhi yote wanaporwa na wazungu nao wanapnda eti,hebu check na wachaga nao wanaringia ardhi ambayo imeshajaaa na...
  14. P

    Wakwere, Wadengereko na Wazaramo watanipasua kichwa

    jamani nani yuko tayari kwenda kuishi tarime....maana kule nasikia watu wamestaarabika sana hakuna ngoma za asili wala hawapigiani kelele usiku
Back
Top Bottom