Recent content by Pohamba

  1. P

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kuingia kwe nyumba cha ATM na watoto wadogo miaka 4 hadi 12, sio mapenzi kwa mtoto ina madhara yake

    kuna watu wameenda sana Shambani na watoto wao na bado watoto wamekuwa wavivu na wazururaji tu
  2. P

    JamiiForums Tanzania Hivi huwezi mtu kugomea uteuzi?

    Sio kila Mtanzania kasoma kwny shule za ruzuku nafasi nyingi zinapaswa kuwa za kuomba badala ya za kuteuliwa kuepuka kuwapa watu wasiokuwa na interest mf.kuna Mabalozi kadhaa kipindi cha nyuma nawafahamu waliteuliwa ili kuwaondoa eneo fulani au kuwakomoa na matokeo yake kule wakaenda kuwa...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Mwendokasi hawana nidhamu

    Inawezekana tatizo lipo kwny mfumo wa Ajira wa kupata hao madereva. Mifumo ya Ajira imebuniwa na kwa kusimamiwa kwa namna gani kupata Madereva wenye sifa. Mie binafsi siamini kama Dereva asie na 'Mkubwa' akawa anajua ana kijiji kinamtegemea anaweza akafanya ujinga wanaofanya wale Madereva...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Meya Kinondoni Mnajenga Msikiti wa Kudumu Coco Beach

    Ingejengwa Casino au bar isingekuwa nongwa Jukumu la kuzoesha akili kuuzoea Uislam ni lako binafsi otherwise vumilia
  5. P

    JamiiForums Tanzania Umeme upo hapo ulipo kwa sasa?

    Pole sana Mkuu. Serikali iko mbioni kumaliza tatizo hili
  6. P

    JamiiForums Tanzania Tanga: Mjamzito adaiwa kufa baada ya kuwekewa damu kimakosa, Watano wasimamishwa kupisha uchunguzi

    Mgonjwa aliepaswa kuwekewa na damu na aakawekewa mwingine anaendeleaje ?
  7. P

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini kushambuliwa Kwa risasi Mbunge Sendeka, kushughulikiwe Kwa haraka na Polisi, wakati lile la Tundu Lissu halishughulikiwi kabisa?

    Report ya uchunguzi imeshatoka kutoka 'kijiwe mjinga' wakati Makachero kutoka Makao Makuu ndio wanaingia Manyara
  8. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nani kuwa Mgombea Urais CHADEMA 2025?

    SSH ni Mgombea wa CCM na Chadema Interest ya Chadema ni kupata Viti vingi vya Ubunge na Udiwani n kupata ruzuku ya kutosha
  9. P

    JamiiForums Tanzania CAG: Wastaafu na wenza wao wanaigharimu NHIF Tsh 84.7 billion kila Mwaka Bila Wao kuchangia

    NHIF wasilete majibu mepesi kwa maswali magumu NHIF wamewekeza wapi fedha za Michango ? Wameleta fitna bima za watoto zikafutwa sasa wanaleta fitna Wazee na wastaafu nao waondolewe wanataka wabaki na Wafanyakazi pekee ambao rate yao ya kuumwa ipo chini sana kukwepa kubeba gharama za...
  10. P

    JamiiForums Tanzania (FSB) Usalama wa taifa Urusi waanza kamata kamata ya makundi ya kiislamu

    CIA ni watu hatare sana walitaka kumchonganisha Putin na sasa kachonganishika
  11. P

    JamiiForums Tanzania Hivi NHIF ni taasisi ya pesa hadi iikopeshe Serikali tsh 208 bilioni? Waziri husika ajipime!

    Umejiuliza au kuuliza wakati hizo fedha zinakopwa Rais alikuwa nani?
  12. P

    JamiiForums Tanzania Sheikh Jongo asema ujenzi wa msikiti wa Kinondoni haukuombwa na Hayati Magufuli kama ilivyodaiwa

    Hata Kamanda wa Anga alitujulisha kuwa Akaunti zake zote za Bank zilifungwa baada ya Mzee Kufariki
  13. P

    JamiiForums Tanzania Yericko Nyerere: Kuna kila dalili njema Taifa linarejea kwenye nafasi yake Afrika Mashariki

    Anavyopenda sifa Mbena yule atakwambua TISS walitumia kile kitabu chake cha ujasusi wa kidola
  14. P

    JamiiForums Tanzania Makonda: Kuna UJINGA unaendelea wa kumtofautisha Hayati Magufuli na Rais Samia

    Pengine kungekuwa na option ya kuchagua Baba, ungemkana Baba yako na kumchagua Jakaya Yule kisharuka viunzi vya fitna za viwango vyako
Back
Top Bottom