Angel Nylon
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 10,304
- 21,727
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO)
TAARIFA YA KUOMBA RADHI KWA KATIZO LA DHARURA
1 APRILY, 2024.
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Kilimanjaro linaomba radhi Wateja wake wote kutokana na hitilafu kwenye kituo cha kuzalisha Umeme (GRID) na kupelekea ukosefu wa Umeme kwa Mkoa mzima wa Kilimanjaro majira ya 08:45 USIKU huu wa tarehe 1/04/2024
Maeneo yanayoathirika:
Mkoa wa Kilimanjaro na Wilaya zake
Jitihada:
Mafundi wanaendelea na utatuzi ili kurejesha huduma ya Umeme katika hali yake ya kawaida.
Shirika linaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza wakati utatuzi unaendelea kufanyika.
Imetolewa na Ofisi ya;
Uhusiano na huduma kwa Wateja-TANESCO Kilimanjaro