Nitaongea kifupi japo ni stori ndefu, mwaka 2010 nikiwa form 4-6 Mtwango Sec, Njombe kuna mwanafunzi altokea kunipenda sana. Anavyonifata mimi alikuwa na mimba ya miezi miwili, mi sikumkataa nikajua labda ni mimba tu, basi nilijatahidi kuwa nae karibu ila kimapenzi nilkuwa namkwepa sana...