Ntaluke.N.
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,340
- 552
Kumbe kuna shule za Upili wanaruhusiwa kusoma huku wakiwa na Ujauzito mkubwa kiasi hicho..
ndugu endelea na maisha yako...yule tayari mke wa mtu na anafamilia....kwa nn uharibu familia ya watu?kama alikuwa hajampenda huyo mume wake angeondoka zamani, na kukaa mwnyw au na wazazi wake ila bado yupo nae...ss anachotafuta ni sehemu ya kukimbilia ambapo ndio kwako kwa sababu kamchoka mume wake...endelea na maisha yako, utampata mwanamke mtapendana na kuanza familia yenu..fikiri!
Mpige mimba kisha usepe mkuu.........
Huyo demu namjua ni mfupi mweupe hivi anaitwa Velonica!
pole we muoe ila mbeleni utajuta!