Recent content by poa tu

  1. P

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa Lemutuz

    Mshua anavunja mifupa meno bado iko.
  2. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jana kwa mara ya kwanza nimempiga makofi mke wangu ila roho inaniuma

    Bwege anaanza kupona.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Nimeota namgegeda Shilole, mtamu balaa, kumbe Uchebe anafaidi sana!

    Kisandu apigwe ban humu, anaambukiza watu maradhi yake.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Barua hii ya wazi iende kwa RPC Mkoa wa Mwanza, IGP Simon Sirro na Waziri Mwigulu Nchemba

    Mwisho wa siku wanataka tusijichukulie sheria mikononi. Sasa kama wahalifu hawawezi kushughulikiwa na sheria tuwaache waendelee kuishi na kuzaa wahalifu wengine watakaorithi tabia zao?
  5. P

    JamiiForums Tanzania Loh!

    Sema tu alichokufanya
  6. P

    JamiiForums Tanzania MJADALA: Mkoa gani ni rahisi kijana kutoka kimaisha na kwa shughuli ipi?

    Kweli kabisa, ajira HAKUNA na mazingira ya kujiajiri HAKUNA. Mkuu rasilimali zote kawekeza kwenye kununua sifa.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Taharuki Tandahimba baada ya madai ya mtoto mchanga kutabiri mvua ya ajabu; wakesha wakinywa uji wa Muhogo

    Tatizo wamejenga madrassa nyingi kuliko madarasa Tandahimba. Wana elimu ya ya kiroho zaidi.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ampa za uso Lowassa baada ya kutoka Ikulu na kumsifia Rais Magufuli

    Hamna ni konda na pia anajishughulisha na kilimo cha mboga mboga. Mara kadhaa aliwahi kujaribu kugombea ubunge akashindwa nasikia.
  9. P

    JamiiForums Tanzania Jamani ile ndege yetu na zile dola za kutoka Acacia vipi?

    Kelele wewe, ipo pesa ya kununua wapinzani tu. Unataka ndege una nauli? Mpiga dili ww.
  10. P

    JamiiForums Tanzania Ninaomba msaada wa kulipiwa ada

    Sasa kumbe una familia kabisa na unasema itajitahidi, kwanini isijitahidi sasa? Waliwezaje miaka 2 iliyopita washindwe sasa? Walithubutuje kukupeleka shule ya gharama hiyo ikiwa uwezo haupo? Unajua maana ya msaada na tafsiri ya mtu anayehitaji kusaidiwa bado ni tatizo kubwa kwa wengi. Kwanza...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Ninaomba msaada wa kulipiwa ada

    Nilitaka kuuliza hivyo hivyo
  12. P

    JamiiForums Tanzania Mambo ya vyapati...!!!

    E bwana ndio.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Mambo ya vyapati...!!!

    Hata kama ni mandondo ila si nimeshiba bhana. Poa tu, tutakutana Februari[emoji35]
  14. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeanza mwaka natongozwa sana hadi naogopa

    Ukiona unatongozwa sana January basi "price tag" yako inaonesha unafuu ukizingatia watu wanaepuka vya gharama mwezi huu. Wape tu kitulizo.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Tunamlazimisha Babu Seya kurudi kwenye Muziki ila kiukweli amechoka, amezeeka

    Haya bibi Seya tumekuelewa, mzee kachoka.
Back
Top Bottom