Recent content by pngalawa

  1. pngalawa

    JamiiForums Tanzania Chama Cha Mapinduzi (Zanzibar) wajibu tuhuma alizotoa Lowassa

    Angekuwa mroho asingekubali kamwe kuachia ngazi wakati wa sakata la richmond,
  2. pngalawa

    JamiiForums Tanzania Kweli kenyatta msimamo anao!!

    Akili imo mle kichwani japo bangi nazo zipo
  3. pngalawa

    JamiiForums Tanzania Nimepata pigo naomba ushauri

    Mimj nasima chuo na wanangu,sembuse wewe.kama hutaki acha kachome mkaa uchindile uone timbwili timbwili lake kama la asha ngedere hivi
  4. pngalawa

    JamiiForums Tanzania Deo Filikunjombe, Huko Njombe hautapitishwa na CCM

    hamna shule pale
  5. pngalawa

    JamiiForums Tanzania Maswali na majibu kuhusu Ndege inavyofanya kazi

    kweli kabisaaaaa
  6. pngalawa

    JamiiForums Tanzania I fell in love with one of them.

    Hapana jamani ester bulaya kajikata huyo dada.yaani mpaka duu anahatrisha ndoa
  7. pngalawa

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nimesafiri na BAJA 250 XLR kupitia mbuga ya Mikumi, kwa niliyoyaona sipiti tena

    Waweza pita ila sio kwa honda xl 250r.walau kwa uchache ungekuwa na cc 400 ndo ungekuwa komfotabo halafu ni vizuri kuuma nyuma ya gari kubwa hasa mabasi maana yenyewe huwa kwa uchacje yanaenda 80km/hr
  8. pngalawa

    JamiiForums Tanzania Mgoni alipishwa laki 3 kufumaniwa

    bora huyo kakulipisha laki tatu tu.mimi nakulipisha laki 3 ya nauli halafu na sululu ya utosini
  9. pngalawa

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi juu ya maswali haya kwa wana UKAWA!

    ujue halafu iweje?
  10. pngalawa

    JamiiForums Tanzania Kutishwa kisa madai

    sasa we we mti wa chuma kwa mini humlipi?
  11. pngalawa

    JamiiForums Tanzania Mzigo mpya Wa iPhone 6 na iPhone 6+

    Kutoka i.os mpaka android?
  12. pngalawa

    JamiiForums Tanzania Pikipiki inahitajika (San LG)

    www.olx.com Utapata ndugu yangu
  13. pngalawa

    JamiiForums Tanzania Mgombea Urais John Pombe Magufuli afuzu Usaili aliopewa Bungeni leo

    Hata wakipewa hawawezi kujibu kama Magufuli.Yule bwana ana uwezo wake binafsi.ila haimaanishi kuwa hiyo ndiyo sifa ya kumpangisga Magogoni
  14. pngalawa

    JamiiForums Tanzania For JamiiForums Mobile users

    @[colour=red]
  15. pngalawa

    JamiiForums Tanzania Msaada: Fedha ya faini ikipatikana inaweza kubatilisha kifungo kilichoanza kutumikiwa?

    Sina hakika lakini nadhani utachagua adhabu moja kati ya hizo mbili ukichagua kulipa faini basi utasubiriwa ulipe faini Ukichagua kifungo utafungwa tu hata kama baadae utakuwa na hela zaidi ya hukumu ya mahakama.
Back
Top Bottom