Recent content by PMG

  1. PMG

    Cabinet reshuffle: This is a disgustingly bad joke, Mr President

    Maskin Jk ameshidwa kabisa hata kuusikiliza ushauri aloshauriwa na Mrisho mpoto ktk wimbo wake unaoitwa "Waite" tena kabla hata hajafanya uteuzi. Ok labda kwakua ccm hakuna tena anayefaa.
  2. PMG

    Wanawake wanavutiwa na nini zaidi kwa wanaume

    C kila unachofundishwa kitakusaidia. Swala la mapenz halina mfumo. Na zaidi ukitengeneza mazingira ya kupendwa daima hutofanikiwa ktk penz la kudum.. Mapenz ya sasa yapo kifashen zaid sitaki kuamini kama pesa ndio dawa mbadala yakumiliki penz ama mwanamke wakudum maishan, na kwamba mwanamke...
  3. PMG

    Nalivua pendo...

    Tatizo tunafanya tusiyoyajua bila kujua kwa nini tunayafanya, et kwakua wengine wanayafanya. Ila ukijua unachokifanya kwakua uko tayari kwa unalolifanya hutokaa nakufikiria ubaya wa ulichokifanya nakutafuta visingizio wala kuja kuliweka wazi hapa.
  4. PMG

    Ndoa: Majanga ya wanawake waliosomea shule za Boarding

    Hahahab umenikumbusha jamaangu alioa mke. Hakuamin kilichotokea siku yake yakwaza tangu watoke honeymoon. Mke hajui hata kupika chai.. Jaman wenzenu kabla hatujaoa tulikua tunawatorosha wachumba zetu tunakaanao ghoto angalau week ama mwez ndio tunajifunza anakuaje akiwa ndan kama mke. Tatizo...
  5. PMG

    Wanawake, this is too much (kali ya mwaka)

    Kiukweli hii mitandao imerahisisha sana utongozaji. Ukiwa mjanja wa kuzitazama picha za hawa dada zetu zinakupa taswira nzima na uhusika wamtu kuanzia tabia had matamsh yake... Hapo huna haja yakuchokoza. Hakika nakuambia fbk imenipa mchumba hatimae mke. Nidada niliekuanae fbk kwa mda wa mwaka...
  6. PMG

    Changamoto za Kuoa/Kuolewa na Mtu wa Shift za Usiku...

    Sion tatizo kama mmeoana baada ya kuwaacha wapenzi wenu wazaman. Ila kama umeolewa ama kuoa mkiwa vigol kidogo unaweza fikiria kaz za shift nichangamoto ktk ndoa yenu
  7. PMG

    MAZURI ya Kikwete ambayo hayajawahi kufanywa na marais waliomtangulia HAYA HAPA

    Ama kweli mjenga nchi ni mwananchi na mla inch ni rais wa nchi
  8. PMG

    Nime bakwa na bosi wangu. Msaada wa kisheria unahitajik.

    Angalia utakosa vyote! Nibora uende kwa huyo bosi wako ukamwombe msamaha kwa kumpa usumbufu mpaka boxa inachanoka ili akubake! Na kuufuta huu uz hapa ili uendelee kula bila kuonyeshewa chamoto.. Usisahau kubadilisha jina hat yake yanyumba eh!
  9. PMG

    Poleni familia ya Mwinyi

    C wote tunamsikiliza kibonde(clouds) ulipaswa kutoa taarifa kamili
  10. PMG

    Hivi inawezekana msichana ukasafiri kumfata mwanaume usiemjua hujawahi kumuona live? Online dating..

    Eeh mungu ninyime mali na pesa! Ila tu, nizidishie akili
Back
Top Bottom