Recent content by pmama

  1. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu nimekwama, wiki sasa balo la mtumba halitoki

    Asante kwa ushauri mzuri
  2. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu nimekwama, wiki sasa balo la mtumba halitoki

    [emoji4]sawa mkuu
  3. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu nimekwama, wiki sasa balo la mtumba halitoki

    Hope nitafikia hapa Boss ,fremu za sehemu zilizochangamka ni bei sana bado sifikii bei
  4. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu nimekwama, wiki sasa balo la mtumba halitoki

    Sample ya nguo
  5. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu nimekwama, wiki sasa balo la mtumba halitoki

    Nipo wakuu ,Nashukuru kwa support yenu sanasana mbarikiwe . Nimepata msaada nimepata business partner pia .kijiwe kinaanza kuchangamka sasa . Naomba niwatangazie biashara. Kwa wenye watoto nina mzigo wa kuanzia miaka 0- 12 Pensi Gauni Skirts Blouse & tshirts Bei sawa na bure kuanzia 1000 -...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu nimekwama, wiki sasa balo la mtumba halitoki

    Nashukuru sana kwa ushauri
  7. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu nimekwama, wiki sasa balo la mtumba halitoki

    Sawa mkuu nitafanya hivyo
  8. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu nimekwama, wiki sasa balo la mtumba halitoki

    [emoji22]nikifikiria kodi yangu mkuu naona bora nisikimbie, Mungu anitie nguvu tu
  9. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu nimekwama, wiki sasa balo la mtumba halitoki

    Asante sana mkuu
  10. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu nimekwama, wiki sasa balo la mtumba halitoki

    Habari zenu, Dada yenu nimekwama tafadhali naomba mnisaidie, Nimekodi meza ya biashara soko la Tandika, nimeanza kwa kuuza nusu balo la skin jeans na nusu balo la blouse. Wiki sasa inakata mzigo hautoki mpaka nahofia kula pesa ya mtaji. Naomba kama kuna yeyote anaweza nisaidia balo la nguo za...
  11. P

    JamiiForums Tanzania Wa mwisho ndiyo mshindi

    Mzio waweza sababishwa na mrundikano wa sumu mwilini pia
  12. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mitoto unaihangaikia peke yako ikifika ukubwani inaenda kutafuta ukoo wao...

    [emoji38][emoji38]
  13. P

    JamiiForums Tanzania Nimekata tamaa ya kuendelea kuishi

    Shukuru Mungu ,bado unanguvu na akili ya kupambana ,hivyo usiogope ni kwa kitambo tu . Alaf we ni baba unaweza kuwa "saidia fundi" kwa muda wakati unatuliza akili ili upate njia nyingine ya kuingiza kipato. Ukifa utaumiza mke na wanao maana bado hujawataftia solution ya kuweza kulipa hayo...
Back
Top Bottom