maisha yako ni wajibu wako,fanya kitu kinakuletea ugali mezani achana na kuwahofia ndg/wazaz wako.halafu jikubali na kazi yako mdogo angu. huenda nawe unaifanya tu kwakuwa uliyoitaka umeikosa ila we mshukulu mungu kwa hicho kidogo..nb jichange,jipe mda, kuwa na malengo utafika unapopataka
kila mtu anamapendezi yake,jambo la msingi wachanganye kila upande,mfn dini kidogo na mambo ya ulimwengu yenye maadili kidogo, ila eti tuwekewe mambo ya dini tu hyo HAPANA.
hongera mkuu..mi najiona ndo mtu ata shule sijaenda nimeishia la 3 tu,lakn nafarijika kuwa nanyi hapa jf watu wenye maelimu makubwa makubwa, na tunashea aidiaz mbalimbal.. naamin nami nitaelimika tu kupitia humu japo sitapata ma vyeti.
itakuwa vyema mkuu kma unamtu pande zile..bila kuchoka usisite kuludi kwenye uzi huu kupeana taalifa.. Na nitaendea kukushtua kulingana na mda utakavyozid kusonga..
naungana na hoja yako mkuu mi siamini kwenye hii mifumo ya kidemokrasia hasa nchi zetu za kiafrika. tunaitaji tawala za kidikteta ili tuvuke hapa tulipo.
mkuu tusisahauliane kuenda huko, mwakani mwezi upi utaenda? ikiwa tutakuwa wazima ningependa tuungane mana watu tunapitia changamoto hadi shetani hapend.
aisee mkuu fanya jitihada umpate ukifanikiwa ludi hapa kama hutojali tujue tunafanyaje.ingekuwa vyema sana tungepata mwenyeji me nivushwe hata kwa njia za panya nikutane na mzee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.