Akija Mwengine anazidudisha . Hapa tungefundishana kufuga Ng'ombe / kilimo mtu unabobea humo miaka Saba ha PhD nadhani tungekuwa mbali Sana kiuchumi. Yaan tusome Practical kwoledge
Mbadalaa upo Kuna nja Ile Andaliliwa kwa ujenzi wa treni ya Mwendo kasi inaanzia Kariakoo Hadi Pugu Kwakuwa Ujenzi wa treni Kwa Upande wa DSM upo teari hiyo barabara ingetumika kwa Magari kupunguza foleni na kuongeza kasi ya Ujenzi wa Barabara kwakuwa hakuna ghasia .
Kama umemaliza kwa Tarafiki anaechukua elfu mbili (2000) Sasa unaeda kutuletea habari za wapi TRA, Bandalini, Tanesco, Ma wizarani humo ? Ili Tuone nao wanachukua elfu mbili ? Baada ya hapo Utakuwa umetuletea habari kamili.
Unahisi kwanini ambulance haifuati Sheria ? Inapita kwenye Taa nyekundu na inapishwa na Magari Mengine . Ukipata majibu utapata majibu kwa hiyo hoja yako .
Take note .
Ambulance base on afya na uhai wa mwanadamu
Na huku Kwingine base kwenye core subject Yao dhidi ya faida kwa binadamu
Manula anadakia uzoefu Metacha anatosha Zaid ya Manula . Hakutakiwa kufungwa Yeye ndio anawapanga beki anaona nafasi ya goli kafungwa Kama kawa magori yake ya mbali
Kwani hizo tabia Hadi wanaoana hakuwahi kuzijua ! Au Mwanamke nae alitumwa kamaliza kazi yake ameludi kazn kupewa kazi nyingine ! Ilikuwa n mission ya kumleta Ahamie Yanga zoezi limekamilika Basi. Pia wapo wanawake ambao hutaka Ile heshima kwamba Alisha wahi kuolewa na Sasa ataki Tena kuishi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.