Pongezi kwa aliyebuni wazo la nembo ya taifa round about ya morogoro

Kwanini nywele za asili za Mwanamke wa kiafrilka zinafichwafichwa sehemu nyingi na vilemba, mawigi, rasta bandia hata kwenye picha, nembo.

Kuna watu wanaona hawapendezi na nywelezao za asili?
 
Huwa mwanaume mbona kama kavaa kigauni siyo kagauni kama shuka siyo shuka ,ni mavazi ya utamaduni wa wapi
 
Aliyetoa hili wazo na aliyetengeneza wote nawapongeza nimefurahi Sana nilipopita nikaona kumejengwa nembo ya taifa kwenye hii round about kwa kweli imependeza nashauri mikoa yote kwenye round about zao kujengwe Hilo sanamu liwekwe katikati.View attachment 1968329
Kweli kabisa hii picha inatakiwa ifanyiwe marekebisho,iendane na mazingira ya leo ya kisasa
 
Back
Top Bottom