Ok mkuu, thanks. Sipo nyumbani, I just read about the incident hapa kwenye forum na kwenye source post jamaa alim-refer tu kama mtoto, so I was interested to know ni wa jinsia gani!
18
COMPANY NAME: Meregesi Law Chambers
Shareholders and Directors: Johnson Lukaza and Maregesi
Related Company: Proin Properties/Kernel
Office Location: Plot 73 Kinondoni Road...
Swala jingine ni kwamba NSSF sio bank na sidhani kuwa ina-qualify kuitwa 'financial institution' (wataalamu mnisahihishe kwenye hili kama siko sahihi). Hivyo sidhani kama kwa nature ya shirika linatakiwa kuwa linatoa mikopo ya ki-bank ama ki-biashara. As a long shot, I could understand labda...
1. Huna haki ya kuniambia kulikuwa na haja ama hakukuwa na haja ya kuandika chochote kwenye hii forum
2. Wewe huwakilishi kila mtu hapa, so huwezi kusema kila mtu anajua blah blah blah
3. Nawewe vile vile una-miss the point, swala ni kuwa awe ana dini ama hana, awe amepiga picha uchi ama...
YournameisMINE, with due respect, personally I do not care about her religion, the picture, or anything she does. Whatever she is into is absolutely non of my business! The only thing I did was to point out where the issue came from and from what stand point those who are commenting take their...
Yo Yo "nakupa tano.......anashangaza huyo feminist....naona kaanza taratibu kukandia dini za watu....
mbona kuna wakristo wengi tu wako kwenye madanguro hatusemi?"
Wakuu kabla mada haijahama na kusababisha mihemuko, nadhani swala la kum-refer huyo dada kama muislam limetokana na hii quote...
"Wasomi wetu siku hizi wanalipwa vya kutosha si haba. Suala ni kuwa katika dunia hii ya matabaka wasomi nao hawako nyuma katika kutamani kuwa tabaka la juu ama WALA NCHI ama Walala hai wakati wote tunajua kuwa unapochagua kufanya kazi katika sekta ya elimu na haswa katika asasi ya umma hupaswi...
I believe Prof. Mukandala's speciality is Public Administration, that combined with his outstanding successes in both career and entrepreneurial endeavors had me expecting so much more from him than the simplistic statements he makes! I expected at least an analysis of the situation from him...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.