Mtoto Miaka 13 Afanyishwa Mapenzi na Mbwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto Miaka 13 Afanyishwa Mapenzi na Mbwa

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by X-PASTER, May 7, 2009.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  May 7, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  MAHAKAMA ya Mkoa wa Mwanza imemuhukumu kwenda miaka 55 jela Shija Madala [18] kwa kupatikana na hatia ya kumlazimisha mtoto wa miaka 13 kufanya mapenzi na mbwa

  Hukumu hiyo ilitolewa na Hakimu wa Mahakama hiyo Gadiel Mariki mkoani humo.

  Washitakiwa wengine aliohukumiwa katika kesi hiyo ni pamoja Job Mlama [30] na Anacet Edward ambao walihukumiwa kwenda jela miaka 40 kila mmoja baada ya kupatikana na hatia ya kumrubuni mtoto huyo ufanya vitendo hivyo.

  Hakimu Mariki alisema washitakiwa wote watatu watakwenda kutumikia vifungo vyao ili kuweza kuiadabisha jamii kwa vitendo vichafu vya uzalilishaji.

  Mahakama hiyo iliwahukumu washitakiwa hao kwa kupatikana na hatia ya kumlazimisha na kumrubuni mtoto wa miaka 13 kufanya mapenzi na mbwa katika kambi ya madini ya Barrick.

  Pia waliweza kumshawishi mtoto huyo kukaa katika maeneo ya kambi na kumfanyisha vitendo vya mapenzi na mbwa.

  Baada ya hukumu hiyo Hakimu alitoa amri kwa wamiliki wa mgodi huo kumkabidhi mbwa huyo kwa Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza ili aweze kumilikiwa na Serikali na kufanya kazi za kulinda watu badala ya kuendelea kuishi kambini humo.
  www.nifahamishe.com
   
 2. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #2
  May 7, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kha makubwa!
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  May 7, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160

  Thanks Mkuu;

  Sasa nini hatima ya yule binti??? Any news on compensation au support ya aina yoyote? Sijui yule binti ataweza tena kuzaa au kuishi maisha ya kawaida??

  Nashukuru wamewafunga makenge wale!!!!

  Any news kuhusu yule binti?
   
 4. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #4
  May 7, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  Madogo yana afadhali,huh!..Mbwa nae alikubalije au walimpandisha? Kweli duniani kuna watu na binadamu..khaa
   
 5. Penny

  Penny JF-Expert Member

  #5
  May 7, 2009
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 577
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mwee, shosti naona walimdandishia huyo demu...alafu cnasikiaga eti ina pingilipingili! Kwa kweli wanastahili hiyo hukumu. Haya mwaya yetu macho na masikio! "Yarabi toba rudia wana wako jamani".
   
 6. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #6
  May 7, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Hizi lugha jamani!
  Mbwa na binadamu wanafanya mapenzi au ni kitendo cha udhalilishaji?
  Wataalamu wa kiswahili hebu mtusaidie kwenye hili.
   
 7. BelindaJacob

  BelindaJacob JF-Expert Member

  #7
  May 7, 2009
  Joined: Nov 24, 2008
  Messages: 6,060
  Likes Received: 475
  Trophy Points: 180
  We acha tu shosty,huyo mtoto atakuwa affected kisaikolojia kabisa mana akikumbuka anaingiliwa na mbwa jamani. Wakafie tu jela hao watu,wamefanya kitendo cha kikatili.
   
 8. Andindile

  Andindile JF-Expert Member

  #8
  May 7, 2009
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  heko hakimu kwa kutumia vifungu sahihi. Maana miaka 55 jela itamrudisha akiwa kachoka ile mbaya. Atajuta kwa nini alithubutu kufanyisha hicho kitendo.
   
 9. Killuminati

  Killuminati JF-Expert Member

  #9
  May 7, 2009
  Joined: Apr 24, 2007
  Messages: 321
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  .....mmmh, sickos kumbe wapo bongo hapa wa kumwaga tu. They deserved something better...say like...The bullet at the back of their heads and Necks. Stupid fools indeed.
   
 10. P

  Plotinus Member

  #10
  May 8, 2009
  Joined: Jan 28, 2009
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu umejuaje ni binti?
   
 11. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #11
  May 8, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  kwani hujawahi kuona au kusikia kitu kinaitwa Animals sex (BESTIALITY)mara zote huwashirikisha Binadamu na mnyama ikiwa mbwa au farasi NK,ni mambo ya wazungu ndio wanao ongoza na sisi huku kina mzee kazi haipo kama hapo basi ndio hivyo tena hatwishi kuiga kila anachokifanya mzungu nasi lazima tukifanye ,cha kushanga mzungu haigi anachokifanya muafrika.nilishangazwa nilipoona farasi anamuingilia mwanamke nikajuwa hawa watu sio wakawaida.
   
 12. K

  Kokolo JF-Expert Member

  #12
  May 8, 2009
  Joined: Mar 20, 2008
  Messages: 487
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 45
  Inabidi waathirika wadai fidia toka kwa wenye mgodi maana hao jamaa walikuwa wanafanya kazi mgodini na wakati kitendo hicho kinafanyika walikuwa kazini, hivyo mgodi inabidi wabebe lawama na walipe fidia kwa huyo binti minimum $10 million.
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  May 8, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  I was in Geita when this happened; and the story was well covered by the media.... unless kulikuwa na similar incidences one involving a boy and another involving a girl

  Au ulikuwa na maana gani????
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  May 8, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  NOW, That's my point... kwenye nji za watu huwa hawaishii kwa ka-mlinzi!! they go beyond

  I think kwa kushinda kesi, yule binti needs to start a new one on compensation

  WHEN YOU FEEL USED, YOU END UP BECOMING USELESS; HENCE THE NEED FOR COMP!!!!!!!
   
 15. P

  Plotinus Member

  #15
  May 8, 2009
  Joined: Jan 28, 2009
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ok mkuu, thanks. Sipo nyumbani, I just read about the incident hapa kwenye forum na kwenye source post jamaa alim-refer tu kama mtoto, so I was interested to know ni wa jinsia gani!
   
 16. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #16
  May 8, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Hii stori haijakaa vizuri kwa maana kumbukumbu zangu zinaniambia kuwa a mzungu was involved, sasa inaonekana kama a mzungu is out of picture. Under normal circumstances muafrika tena a mere watchman hawezi kuwa na mawazo ya kumfanya mbwa ambake binti mdogo kiasi hicho, naomba mwenye data atueleweshe where is the mzungu?
   
 17. Bonnie1974

  Bonnie1974 JF-Expert Member

  #17
  May 8, 2009
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 407
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkulu

  Heshima yangu,heshima ya MwanajamiiOne,heshima ya Penny,heshima ya Belinda.heshima ya WOS,heshima ya Mbu,heshima yako,heshima ya Mtindiowaubongo ni zaidi ya Kiwango chochote kikubwa cha fedha ukijuacho say Multi-trillion or more.

  HAWA WATU WAMEMNYANGANYA HUYU BINTI YETU HESHIMA YAKE.

  Naamini HAKI haijatendeka.Mambo haya ya Mtu na Mbwa siyo utamaduni wetu.

  Ni utamaduni wa KIZUNGU.

  YEYETO ALIYEFANYA HILI, KAMA NI HAWA JAMAA, WAMETUMWA NA HAO WENYE MGODI KUFANYA WALIYOFANYA.

  Sitoshangaa kama hao WAZUNGU walikuwepo pembeni wakichukuwa kwenye Video hizo picha wapate kuuza huko kwao or walikuwa wakitizama huku roho zao dhalimu zikifurahia tendo lile.

  Mswahili hawezi kumpandisha mbwa binti wa kiswahili,KWANINI MBWA AFAIDI yeye abaki anaangalia ?

  Tafsiri ninayopata ni kwamba inawezekana hawa jamaa watatu WAMENUNUA kesi hiyo kuwanusuru MABOSI/MABWANA zao.


  HAWA WATU WANAPORA MPAKA HESHIMA ZETU?????????? KWANINI??????

  INA MAANA UPORAJI WA MADINI HAUWATOSHI?????

  SWALI LANGU NI BAADA YA KUPORA HESHIMA ZETU(YA HUYO BINTI) NINI KITAFUATA????

  JE HAWATOPORA ROHO ZETU????????

  Ni nchi ya namna gani tunawaandalia watoto na wajukuu zetu????

  INAUMA.
   
 18. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #18
  May 8, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Should have been widely publicised to let mass know this shameful act &punishment to these bastards!
   
 19. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #19
  May 8, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Sio kitu kama pingilipigili... Ni kama MPIRA WA KITENESI!

  SI UNAUJUA EE?

  Hautopenda kutazama kwa macho!!

  The best thing ni kwamba hukumu waliyopata watajuta kumfahamu huyo binti!
   
 20. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #20
  May 8, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Mimi nadhani kuna mapungufu makubwa katika kesi hii.
  1. Naomba kufahamu, mmiliki wa mbwa hakuwa miongoni mwa washatakiwa?

  2. Wachunguzi wa jeshi letu waliridhika kuwa hao walinzi ndio waliomfunza huyo mbwa kuwaingilia watu?

  3. Jeshi letu na mahakama iliridhika kuwa walinzi ndio waliojirisha kutumia sehemu ya ujira wao kumlipa Shija na binti muathirka, ili mbwa afanikiwe kutimiziwa haja yake?

  4. Je adhabu iliyotolewa ndio inayolingana na kosa la washatakiwa?

  **Siridhiki, kwani siioni haki Tanzania hasa pale unapokuwa minor kama hawa Binti aliyefanyishwa kitendo kiovu au walioambalia kifungo cha miaka 40-55. Kuna maswali mengi kuliko majibu! Huu ndio uwekezaji!
   
Loading...