Usikate tamaa. Maisha ndio yako hivyo hakuna maisha tofauti na hayo. Fanyia kazi changamoto ulizo nazo zilizo ndan ya uwezo wako na zile zilizo nje ya uwezo wako mkabidhi Mungu. Maisha yana vipindi tofauti.kuna nyakati za vilio na nyakati za vicheko, kuna nyakati za furaha na nyajati za huzuni...
Mpka ameniambia manake hayuko tayar.sikukipenda hki kitendo so km ningkua na uelewa juu ya mambo ya rushwa ya ngono ningjua chakufanya nakerwa sn na utendaji kazi na namna hii wa kumnyanyasa mtu kisa una nafas ya kumsaidia.
Ni mke wa mtu tayari na askari pia ana familia.kwa sasa mumewe yuko masomoni nje ya nchi.
Lakin pmja na hayo mkuu unadhan ni sahihi kumtaka dem wakat ana matatzo na una nafasi ya kumsaidia? Angalau bas angesubiri kesi iishe.kwa mazngra hayo huoni kama akikataliwa hatatoa ushrikiano kikamilifu?
Wadau habarini,
Nawaomba msaada kupanua uelewa wangu juu ya swala la rushwa ya ngono. Mazingra yake yanakuwaje kufikia kuitwa rushwa ya ngono iwe kuomba au kutoa?
Ni hivo, mdogo wangu ameibiwa laptop akiwa hostel chuo fulani hapa Tanzania. Amekwenda kuripoti polisi na utaratibu ukafuatwa...
kama fisadi hana chama basi ccm haina wanachama.maana huko ndo wapo mafisadi waliotukuka na wanapewa nafasi katika chama kugombea.mfano tibaijuka na chenge na wengine
Hivi tubaijuka na chenge wamepitishwa na nani kugombea ubunge? hili linatosha kabisa tudhihirisha kwamba chama ndio tatizo na si watu.watu sio wajinga.wanaweza kua wanajua kwamba lowasa alishawahi kuiba lakini je ni bora kati ya wezi wawili katika kundi la wezi, mmoja akaamua kujiondoa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.