Recent content by platyhelminthesis

  1. platyhelminthesis

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya barabara ya Machinjioni- Kakebe Mwanza

    Kadhalika njia ya kijereshi kuelekea machinjioni nayo iko taabani ni mbovu mnoo. Kuna soko la gulio hua liko katika njia hiyo ni hatari mnoo . Barabara inakua finyu na madimbwi kibao. Lile eneo lenye kitete kwanini msiliboreshe ili wafanyabihashara wafanye gulio lao kwa nafasi na sio kufanya...
  2. platyhelminthesis

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya barabara ya Machinjioni- Kakebe Mwanza

    Tunachokitaka wananchi ni barabara irekebishwe kwa kiwango cha lami , zege au morum. Kuanzia pale nile perch mpaka kakebe. Haiwezekani gari za kakebe ziishie mhandu kanisani kisa barabara mbovu na mamlaka ipo. Kuna kidaraja uchwara kilijengwa maeneo ya kakebe shule ya msingi mpaka leo kameachwa...
  3. platyhelminthesis

    JamiiForums Tanzania KERO Kero ya barabara ya Machinjioni- Kakebe Mwanza

    Barabara hii ni muhimu kwa shughuli za kiuchumi kwa maana kuna viwanda vingi maeneo hayo, soko kubwa la vyakula na machinjio kubwa ya ng'ombe. Jambo la kushangaza kuna daladala zinazoenda maeneo mbali mbali ya jiji zinapita hapo ila barabara ni mbovu kupitiliza na haipitiki vyema kipindi cha...
  4. platyhelminthesis

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa daladala Mwanza leo Machi 11, 2024

    Unataka kutetea nini?.. Huoni kua inawaumiza wananchi wa kawaida huu uhuni wa kwenye daladala. Yawezekana wana hoja za msingi wasikilizwe ila nao waache uhuni ili watoe fair service mambo yaende. Vinginevyo wawaache wenye bajaji nao watoe ushindani.
  5. platyhelminthesis

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa daladala Mwanza leo Machi 11, 2024

    Halafu daladala nyingi zina uhuni wa ajabu ajabu. Mfano nauli kila mtu ana bei yake, huyu atakuambia 900 yule atakuambia 800. Jambo la pili kukatisha route. Mfano gari la airport - Nyashishi mida ya jioni wanasema wanaishia mkuyuni. Wakifika mkuyuni wanashusha wanapakiza tena mpaka buhongwa...
  6. platyhelminthesis

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa daladala Mwanza leo Machi 11, 2024

    Sasa kutokufanya kazi daldala zote si ndo mgomo huo?.. Mbon a hao viongozi wasitoe tamko kua daladala zirudi barababrani kufanya kazi?
  7. platyhelminthesis

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa daladala Mwanza leo Machi 11, 2024

    Bajaji leo wanapiga hela mnoo. Yaani mgomo ndo umewapa manufaa zaidi
  8. platyhelminthesis

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa daladala Mwanza leo Machi 11, 2024

    Aaah kama sababu kuu ni bajaji na hakuna mengineyo ya zaidi , basi ni ubinafsi mkubwa maana daladala bado hazitoshi mwanza
  9. platyhelminthesis

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa daladala Mwanza leo Machi 11, 2024

    Wakuu kuna mgomo wa daladala toka alfajiri ya leo. Shida nasikia ni mgomo unatokana na bajaji kuingilia route zao. Hali ni tete na ni mgomo wa njia zote za daladala. Wananchi wanatembea na bajaji , malori na vi kirukuu ndo vinapakiza abiria kwa wingi.
  10. platyhelminthesis

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamini masikini tunapenda ngono

    Hhahaha [emoji23]
  11. platyhelminthesis

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeamini masikini tunapenda ngono

    Hhahaha [emoji23]
  12. platyhelminthesis

    JamiiForums Tanzania Nataka kuachana na unywaji wa pombe, lakini sijui naanzia wapi

    Mkuu njoo hapa micasa bar riverside tujadili.
  13. platyhelminthesis

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya nafasi ya mteknolojia wa samaki kutoka PSRS

    Kuna rafiki yangu ni muhamga alifanya interview Dar ya kuandika then akafaulu akaenda dodoma kufanya mahojiano. Toka mwanzoni mwa mwaka mpaka sasa matokeo hayajatoka ya kupangiwa vituo vya kazi. Hili jambo sio sawa la linaleta taswira ambayo sio nzuri.
  14. platyhelminthesis

    JamiiForums Tanzania Serikali iweke faini kwa Mabango yanayochafua mazingira

    Tumekua tukiona kama kuna mikutano ya injili au shule inakaribia udahili, tution n. K basi mabango ya matangazo hubandikwa kiholela kila sehemu. Ukienda pale ubungo, flyover inapendeza ila imechafuliwa na mabango kedekede ya makaratasi tena yameisha muda wake na bado yapo na yanaharibu taswira...
  15. platyhelminthesis

    JamiiForums Tanzania SoC03 Elimu ya Kilimo Vitendo

    Kilimo ni sayansi ya mifumo ya uzalishaji mimea, ufugaji wa wanyama , na uvuvi wa samaki. Mara nyingi kilimo cha mimea kinaenda sambamba na ufugaji wa wanyama, sababu kuna kutegemeana kati ya mimea na wanyama. Wanyama hutoa mbolea katika ukuaji wa mimea na mimea hua ni chakula cha wanyama...
Back
Top Bottom