Recent content by Plato magerei

  1. P

    JamiiForums Tanzania Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Non sense thread! Elewa kuwa humu ndani kuna watu wana IQ tofauti tofauti. Fikiria ya msingi kuandika.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya mapokezi ya Lema kesho Arusha!

    LEMA wajali sn hao wamama wa sokoni! They played a hidden role 2 support u! Wamepata shoruba kali sn juu yako. Mungu awabariki
  3. P

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Lema, aibu kwa Clouds FM

    Nina wasiwasi na qualifications zao, wajinga sn hao jamaa.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mwana CHADEMA apata ajali mbaya muda huu - Arusha

    Pole sn kijana mwenzetu, unaonyesha ni kwa jnc gani unakerwa sn na uozo wa mafisadi wa taifa hili, Mungu akujalie upate afya njema na hatimaye urudi tupambane jm kawaida.
  5. P

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, huu ni wakati wa kufanya maamuzi magumu...

    They are VERY STUPID, tayari chama kimeshagundua njama na hila zao wanavyotumiwa na hao mamuluki CCM.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hakuna atakayefanya kazi za CCM akajiita mwana CHADEMA tukamwacha

    Ni kweli kuna watu wanatumika kuichafua CHADEMA, But chama kitaendelea kusimama kama kawaida, Kamanda lisu tuna imani kubwa sn na wewe! Kaza buti, simamieni chama na kuhakikisha kuwa UKOMBOZI WA 2 WA TAIFA HILI DHALIMU UNAPATIKANA.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Kawambwa Amechakachua matokeo ya Darasa la 7 2012

    Tunakoelekea ni kupataTAIFA lenye wasomi MBUMBUMBU, ona sasa kwa hli, serikali/wizara iache Longolongo, Ukweli ni kwamba ufaulu wa wanafunzi hali c shwari.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Terezya Huvisa ndani ya EATV

    Duh! Namkubali sn Kamanda Tundu Lisu, najua uwezo wake ktk kujenga na kutetea hoja, tatizo hawapewi muda wa kutosha, then mnapofanya hvo, hebu tafuteni kidogo mtu mwenye uwezo wa kujibizana na mtu km Lisu, huyo waziri atatwambia nini sie thinkers?
Back
Top Bottom