Recent content by Planet formula

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa bahili, Wanawake wazuri utakula kwa macho tu

    [emoji23][emoji23][emoji23]
  2. P

    JamiiForums Tanzania Kagera: Serikali iwafunge Gavana Wanaume wa Katoro, Wanazalisha sana na kutelekeza

    Nilitaka niende Zanzibar kutafuta binti muarabu nioe kumbe hata katoto wapo
  3. P

    JamiiForums Tanzania Since I start using English as official language in my social platforms I feel more confident and energetic

    Let me introducing for myself, I also trying many more to speak English language, but I don't have seriously friends to talk to. Let join together for better future.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kama ilivyokuwa kwa Diamond Platnumz, Joti naye achukuliwe hatua...

    Hayo ni maigizo tu.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Je, wachawi wanao uwezo wa kusoma document zetu za siri?

    Yaani wao wanacheza na ulimwengu wa roho, matokeo yake wewe unafanya mambo katika ulimwengu unaonekana kwa macho ya kawaida, haya mambo yanaweza kuwa ulevi, usinzi, wivu,hasira,huzuni, kibri,majivuno, madharau, unatumia hela hovyo bila kuwa na mpangilio nk
  6. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    Wapo wanaokuzidi mkuu, mimi sina hii app lakini niko miezi 10.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Siamini kama utajiri unapatikana kwa njia ngumu zenye mateso

    Siri ya utajiri iko kwenye tabia yako.
  8. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  9. P

    JamiiForums Tanzania Pafyumu za kupima-Utajiri nje nje!

    Fafanua vizuri.
  10. P

    JamiiForums Tanzania ARUSHA : Wanafunzi watengeneza gari linalotumia 'Solar' lenye uwezo wa kutembea Kilomita 160

    Wanajitahidi lakini bado hili gari haliwezi kuwa tegemezi katika shughuli za kila siku.
  11. P

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Watu 31 wafariki wakati wa zoezi la kugawa vyakula kanisani

    Walishindwa nini kuwaambia wasubiri msaada nyumbani kwao?
  12. P

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kazi ya ziada ya kufanya nyakati za jioni

    Grocery ya juisi.
  13. P

    JamiiForums Tanzania Mdeni wangu ananisumbua sana natamani kumuweka selo

    Lipa hela ya watu jamaa.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Je ulitokaje kwenye kifungo cha kichawi/kishirikina?

    Ulimwengu wa roho ni mpana sana, yaani Mungu atusaidie maana lengo la wachawi na waganga lengo lao ni kuharibu future ya kizazi hata Ukoo wote. Fanya maombi bila kuchoka, pia uache dhambi za kisiri Siri, zile ambazo unafikiri hakuna mtu anaekuona mfano wivu,kibri,tamaa, hasira,kusengenya nk.....
Back
Top Bottom