Recent content by Plan Master

  1. Plan Master

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui kwanini nimeumia hivi

    Pole sana ishi nao tu hakuna namna
  2. Plan Master

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Arteta ana mifumo hatari sana asilimia kubwa ya makocha na wachambuzi wameshaanza kumuogopa.
  3. Plan Master

    JamiiForums Tanzania FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    Kweli kabisaa hatimaye chura kashindwa kumzuia tembo kunywa maji
  4. Plan Master

    JamiiForums Tanzania FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    Hunishindi mimi napenda kuona ukiwa na furaha
  5. Plan Master

    JamiiForums Tanzania FT: Mamelodi Sundowns 0-0 Yanga SC | CAF CL Quarter Final | Leg 2 | Loftus Versfeld Stadium | 05/04/2024 (Penat 3-2)

    Majukumu yalinibana sana ila kikubwa ni uzima tu
  6. Plan Master

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye nimempata!

    Usiache kumuomba Mungu kila siku maana na wabaya watasogea karibu ili usiendelee kupata furaha.
  7. Plan Master

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye nimempata!

    Leejay49 hongera sana na ikawe heri mfikie malengo yenu wewe ni miongoni mwa wanawake naowakubaligi hapa jamvini huna baya na mtu.
  8. Plan Master

    JamiiForums Tanzania UPDATE: Vifo vya Ajali Ngaramtoni vyafikia 25

    Pole kwa wafiwa wote pole kwa wakazi wa jiji la Arusha na pole kwa Tanzania kwa ujumla, Mungu awape faraja katika nyakati hii ngumu yenye majonzi kwa kuwapoteza ndugu zetu.
  9. Plan Master

    JamiiForums Tanzania Ukipata milioni unaila siku tatu, ikibaki elfu kumi unaishi nayo week. Hii kitaalam mnaiitaje?

    Tumieni pesa kwa nidhamu pia msisahau kuitengeneza vyanzo vya kupata pesa
  10. Plan Master

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wa humu niacheni

    Acheni kumuonea maua
  11. Plan Master

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wadada wa humu niacheni

    [emoji2][emoji2]
Back
Top Bottom