Kuna tatizo limemtokea mdogo wangu ameota meno mawili ya juu ya fidhi na yamekuwa makubwa kiasi ambacho yanaonekana je a naweza kuyatoa? Na akiyatoa hayana madhara? Kwa baadae?
Muda si mrefu nimetoka kuongea na shuhuda mmoja aliyekuwepo Morogoro. Ni kweli kuwa Sheikh PONDA amejeruhiwa vibaya kwa RISASI. Huu ni mwendelezo wa matukio ya kuwawinda viongozi wa dini, viongozi wa vyama vya siasa, waandishi wa habari na wanaharakati ambao serikali inaamini ni watu...
Huo ni ubaguzi na upumbavu unaouzungumza hata akili huna kwanini unafurahi kuona mwenzio akiwa anaangamia kwa kudai haki zake????? Tatizo lako Hujui sheikh ponda kitu gani anachokisimamia so usiingilie Jambo lisilokuhusu mbona sisi hatuingilii ugomvi wenu na karsmatiki???? Tuna busara ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.