Recent content by pjv

  1. pjv

    MJADALA: Je, Pikipiki gani ni bora kwa matumizi ya nyumbani au biashara kwa Tanzania?

    Nimekuelewa mkuu,nicheck Whatsapp 0765833684 tubadilishane uzoefu
  2. pjv

    Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

    nina Gari aina ya Toyota spacio old model,Jana nimebadili oil ya gearbox nashangaa imebadili tabia,ili kuwa inabadili gear kwenye spidi ya 13km/h,baada ya kubadili mpka ifike 16km/hr je ni sahihi?nilistuka Na kumuuliza fundi ananambia itarudia hali yake oili bado inazunguka je ikoje Hapana...
  3. pjv

    African Satellite World and Sat Gear

    How did you get paksat?
  4. pjv

    Software ipi ya kueditia Audio

    mi mwenyewe nahtaj kuifaham software yenye uwezo huo
  5. pjv

    Jinsi ya kufunga Dstv

    kama haujafunga sema usaidiwe maelekezo.
  6. pjv

    African Satellite World and Sat Gear

    How do you get press tv using ku?
  7. pjv

    Jipatie King'amuzi Cha dstv na internet bure bila malipo yeyote ya mwaka

    mkuu @ munjy1 binafsi nasikitika kwa kuchukua hatua hii,kifupi nashukuru na nimefurahia customer care yako na sikupenda ifikie mwisho! mimi nilipata toka kwako g6 na mbali na kutokuwa stable hewan kwasasa bado inafanya vizuri kupindukia FTA. so all in all sina cha kulalamikia.
  8. pjv

    usikose world cup 2014 na ligi zote miezi ya mbele

    kiukweli sijutii kununua dongle toka kwa munjy1,kwani decoder hii imenipa burudan zaid kuliko nilivyotegemea. ubunifu ndo swala la msingi,decoder n mpeg4 hd,nimekula pay tv vyakutosha,game mbili tu zilitosha kurudisha gharama ya pesa nlonunulia! kwasasa nakamua fta zisizo na idadi hadi...
  9. pjv

    Azsky gprs for dstv, canalsat, aljazeera sport and fta. Its free no monthly subscription

    Thanx mkuu m2n nimekupata vzur. Wacha g6 inifae kwa fta chanels kwanza mpaka itakaporejea.
  10. pjv

    Azsky gprs for dstv, canalsat, aljazeera sport and fta. Its free no monthly subscription

    Mkuu m2n shukran kwa updates. Naomba kujua kama azsky g6 inaweza tumika kama receiver ya kawaida ya mpeg4 kwa kuswitch ktk SAT kama uliwah jaribu. Thanx
  11. pjv

    Honda crv 1996

    Je honda ace125 ikoje kama unaipata vzur nataka kununua pia. Thanx
  12. pjv

    African Satellite World and Sat Gear

    Hi kungu1, I have g6 mpeg4 receiver,with this receiver can it be possible for me to trap Ad sports or any other fta sports chanels? Kindly asking your assistant.
  13. pjv

    Muvi zenye sex scenes nyingi

    Kaka hyo dvd nnayo,n balaa tupu, Nilivutiwa na unfaithfull
  14. pjv

    Tv gani itaonyesha mech yanga vs al ahly.

    Hv Azam tv hawawez onyesha kweli wadau?
Back
Top Bottom