Jinsi ya kufunga Dstv

Jinsi ya kufunga Dstv

EARPHONE

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2012
Posts
355
Reaction score
66
Habari wanajamvi,
Nahitaji maelekezo ya kufunga dish la dstv, ninauwezo wa kufunga Azam tv hivyo nikipata maelekezo naamini dstv ntaweza kuipata pia
 
Acha ubahiri toa 20k wakufungie vijana.

mfano kufungiwa Azam tv n sh.30,000 kwa kazi rahisi isiyo zidi dk 15,maelekezo 2 yanantosha kufunga dstv...huku nipo mbali sana na town
 
Sasa na wewe mbona huwaelekezi wamfungie wenyewe unawaCharge 30,000?

Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
hapana! hio elfu 30 n bei ya fundi kwa mawakala wa Azam tv...kuna rafiki alinipa rcv yeny chanel ya 'muvi nyimbo' nikaipata welekeo wa sat then nikaweka king'amuzi changu cha Azam...ndo nikawa nimeweza
 
Habari wanajamvi,
Nahitaji maelekezo ya kufunga dish la dstv, ninauwezo wa kufunga Azam tv hivyo nikipata maelekezo naamini dstv ntaweza kuipata pia

acha uongo wako kama uliweza kufuna azamtv utashindwaje kufunga dstv?. Acha ubahiri siku hizi kunamafundi wa kufunga madish kila kona Tz tena kwabei karibu na bure au kama utaweza dstv unapatika kwenye satellite Eutelsat W7. 36.0E Frequency..11155 symbolate 30000. Pol H.
 
Shukran sana mkuu!dunia ya sasa hiv vitu vidogo vidogo tunapaswa kuvifaham...shukran sana
 
Habari wanajamvi,
Nahitaji maelekezo ya kufunga dish la dstv, ninauwezo wa kufunga Azam tv hivyo nikipata maelekezo naamini dstv ntaweza kuipata pia

kama haujafunga sema usaidiwe maelekezo.
 
Back
Top Bottom