Recent content by piuskimath56

  1. P

    Kuna mambo inabidi tuwaachie tu wazungu

    Kwa nini au kulikoni jamani.
  2. P

    Zitto anahangaika sana, hivi azma yake kwa Mbowe itafanikiwa?

    Zito ni mtu wao Ccm na kazi apewayo ni kusambaratisha Upinzani hivyo anaanzia huko ili aone watafanya nini. Nchi yetu imemalizwa na mafisadi wengi wauwaji wa wanyama pori mikataba ya mashamba ya miaka 100 n.k. Zito azungumzie mambo hayo yatamjenga upya. Aachane na kuchambuana na viongozi...
  3. P

    Ukiona wamarekani wanakuchukia ujue uko sahihi

    Bado mimi naamini wamarekani wanaweza kuisadia nchi yetu japo wengine mnaponda na mjue hamuwezi kubishana nao kwa lolote. Sasa mnataka kubishana nao kwa kukataa hizo pesa za maendeleo?
  4. P

    Hivi hii ni kweli? "Most women, if not all can get sex whenever they want"

    Who are you? Wanawake huwapenda wanaume wote.
  5. P

    Gazeti la jana Mawio liliandika uongo wa Instagram (kuhusu DC Makonda), ombeni radhi now!

    Makonda kwa hakika anatumia vibaya cheo alichopewa Akumbuke heshima na utii havinunuliwi uvumilivu popote unatakiwa kuishi na watu kwa amani muhimu sana kufanya kazi bila kujali itikadi za vyama muhimu sana .
  6. P

    Wafanyakazi Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii wafungiwa nje

    Sisi tuliosoma hapo Dar miaka ya nyuma tuliona pia foleni ila kuwahi kazini muhimu. Sasa swala la kuwafungia tena wafanyakazi nje asubuhiasubuhi sioni lina maana yoyote. Yeye alipoamka alipita wapi au alifikaje haraka?
  7. P

    Prof. Lipumba: CHADEMA wamepoteza dira

    Zile pesa alichukua kweli? au zimekatiwa juu kwa juu. CUF wamsamehe tu asiteseke.
  8. P

    Mfaham binadamu wa kwanza aliyegundua kusoma na kuandika

    Jamani wanasayansi wapo sana wamegundua vingi mno. Ahsante MUNGU.
  9. P

    Kubenea apandishwa Mahakamani leo

    Huyo ni mkuu wa wilaya au ni shida? wenzake hawako hivyo sheria na taratibu za nchi zifuatwe sio kwenda pupa.
  10. P

    ACT-Wazalendo; Ilikuja kwa kasi na inakufa kwa kasi ya ajabu

    ACT kilikuwa maotea ya CCm sasa mambo yamepita kitajiendesha kwa Taabu.
  11. P

    Tanzania nchi ngumu kuiongoza! Wakwepa kodi wanapuuza agizo la Rais

    Ukawa hawadaiwi na yeyote labda wewe uliyeandika hivyo.
  12. P

    Baraza jipya la Mawaziri: Tanzania Mpya tuliyoitegemea imeanza kuyeyuka..!

    Hao waliowekwa leo ni shiiiiiiida tu.
  13. P

    Leo ndio nimethibitisha tabia ya CCM

    Kweli nimeshangaa kuona watu wanakwenda na manguo yale ya Ccm kwenye usafi wa nchi waa che ujinga.waipende amani kuliko chochote.
Back
Top Bottom