Recent content by PITCOL

  1. PITCOL

    Msaada: Kuna tatizo la installation ya POSTGREsql-10.4-1 windows

    Ingia youtube andika hiyo error utaletewa jibu faster. Me iliwahi tokea zamani nikatumia youtube tu
  2. PITCOL

    SOFTWARE YA KISASA YA KUSIMAMIA, KUONGOZA NA KUKUZA BIASHARA YAKO

    Ni web based au desktop application.
  3. PITCOL

    PC (HP probook 6360) imegoma kuwaka

    Sometime tatizo linakuwa kwenye bios so unaipoteza kumbukumbu kdg.
  4. PITCOL

    PC (HP probook 6360) imegoma kuwaka

    Toa RAM, CMOS BATTERY baada ya dakika 5 rudisha tena. Tatizo limekishwa.
  5. PITCOL

    Web Developer - Full Time / Part Time Employee

    Hili tangazo jipya mkuu.
  6. PITCOL

    Msaada toka kwa Developers wenye experience kwenye Mobile Money Integration.

    Tumia pesapal, wakenya wapo mpk bongo hawa.
  7. PITCOL

    TYD yatoa fursa kwa wabunifu

    Idea nzuri wacha tutume wenye maidea.
  8. PITCOL

    Binti anatafuta kazi

    Basi tumeshindana.
  9. PITCOL

    Binti anatafuta kazi

    Housegirl???
  10. PITCOL

    Diamond atangaza ujio wa Wasafi FM na Wasafi TV

    Hata Dk. Shika ni mwanzilishi lakini sasa ameacha kampuni yake Russian inajiendesha yenyewe na watu wengine
  11. PITCOL

    Huyo ndie Mwanamitindo wa kitaifa na kimataifa zaidi anaitwa noelgiotz

    Huyo ndie Mwanamitindo wa kitaifa na kimataifa zaidi anaitwa @noelgiotz wa tz wote saport yako ndio itamfanya azidi KUSONGA mbere zaidi ku like sana kazi zake na kupost sana kwenye pejizenu wapendwa wangu hapo utakuwa unampa nguvu✨ zaidi ya kufanya kazi zake anawapenda nawapenda pia Source...
  12. PITCOL

    Dada yangu anatafuta Kazi

    Mshahara 30000/= analala apoapo kazi za nyumbani DAR. Kama bado yupo njoo PM
  13. PITCOL

    Promoti akaunti yako ya youtube upate subscribers wengi na akaunti yako ya Instagram upate followers wengi

    Mkuu nimependa idea yako, nimetembelea website yako nimegundua hivi vitu Huna social network hata moja uliattach kwenye website, pengine unayo umesahau kuiweka tu. So nakushauri ziweke page zako zote. Hujaonyesha Hata kazi moja uliyowahi fanya eg:- akaunti hata 1 yenye followers wa kutosha...
Back
Top Bottom