Dada yangu anatafuta Kazi

Dada yangu anatafuta Kazi

Mimi nna shida na kijana wa kiume awe na 18-20 kazi kubwa ni kubaki na nyumba usafi/kupika chakula hususan cha kwake mambo yote kwangu mshahara ni 50,000/= naitaji zaidi wa kutoka Iringa na mbeya,kusini siwaitaji.
Pwani tumetengwa
 
Ukikosa wa kiume wa kike nipo apa ntakua wa day
 
Habarini

Husika
na mada tajwa.
Dada yangu anatafuta kazi ya kufanya ya kujipatia ridhiki, iwe dukani, stationery, au nyingine yoyote halali ya kujipatia kipato halali.
Hachagui kazi Hata kazi za ndani yupo tayari endapo mtakubaliana.
Kwa sasa anapatikana hapa Dar, umri wake ni miaka 22.

Kwa mawasiliano zaidi
Nipigie 0767775726
Nikupe taarifa zaidi
Uwe serious please.
Mshahara 30000/= analala apoapo kazi za nyumbani DAR. Kama bado yupo njoo PM
 
Elimu yake ikoje mkuu, na mwonekano wake ukoje? Je anafaa kukaa mapokezi?
 
Yaan humu unaweza kuwa serious lakini coment za watu zikakufanya na wewe ukaonekana mwehu kwa kurespond kiwehu wehu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom