Naweza kubadili TCL flat screen ya kawaida iwe smart Tv?

wakurochi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
2,647
Reaction score
2,958
Watalaam,nina TCL tv flat inchi 55 sio smart tv.
Kuna namna yeyote naweza kuifanya iwe smart tv niweze kucheki youtube na mambo mengine moja kwa moja.

Naomba mnijuze tafadhali, nipo dsm
 
Ok ni android box yeyote hakuna model zote sawa ? Zinapatikana wapi
amazinglifestyletz2-20180329-0001.jpeg

Jaribu kuwatafuta hawa watu huko instagram utafurahia maisha.

Screenshot_2018-03-29-07-05-54-1.png
 
  • Thanks
Reactions: sab
kama walivyokujibu wadau utahitaji tv box, sema kuwa makini na hayo mabox ya kichina mengi hayana features wanazozitangazia.

vyema kama unajua nunua online au muagizishie mtu akuletee online.
-amazon fire tv kwa budget ndogo around laki 1
-xiaomi mi box around 150,000
-Nvidia TV shield around laki 3 hadi 4

pia angalia kama tv yako ina connectivitt features kama miracast, wifi direct, Airplay etc. kama zipo unaweza tumia simu yako kama tv box.

angalia kwenye remote au menu ya tv kama unaweza ukaona. au tuma full model hapa nikuangalizie.
 
Mkuu nitatuma kesho asubui full specs asante.
 
Kwa TCL unaweza kuibadili kuwa smart tv kubwa ni kununua mainbord nyingine ya Android hizo mainboard zipo online unaweza kuagiza kwa maana hiyo TV yako iko rahisi ina plug ya LVDS ni kupachika tu na kufanya setting ziendane resolution ya Kioo cha tv yako unachotakiwa kufanya fungua tv yako soma namba ya screen alafu google panel info utajua kina resolution gani hapo unaset umemaliza ila kama unavyo ona mlolongo ni mrefu rahisi na simple ni box
 
Hizo features haziwezi kuwepo kama Tv sio smart
 
Hi
Kwa TCL unaweza kuibadili kuwa smart tv kubwa ni kununua mainbord nyingine ya Android hizo mainboard zipo online unaweza kuagiza kwa maana hiyo TV yako iko rahisi ina plug ya LVDS ni kupachika tu na kufanya setting ziendane resolution ya Kioo cha tv yako unachotakiwa kufanya fungua tv yako soma namba ya screen alafu google panel info utajua kina resolution gani hapo unaset umemaliza ila kama unavyo ona mlolongo ni mrefu rahisi na simple ni box
Hivi hilo linawezekana? Its a new experience
 
Hzo android box hazichagui model ya TV? Nina home theater ya Samsung deki yake haiplay CD za magumashi yani iko very selective hadi inanikera
 
Mkuu Extrovert hilo linawezaka kabisa na yanafanyika sema tu shida yake ni uwe na uelewa wake kama unapata fundi mwenye huo uelewa maeneo unayokaa anaweza kabisa kukubadilishia TV yako ya flat kuwa smart tv kwa kuibadilisha mainboard yake ila kwa box ni rahisi ila ukipenda usiweke box unaweza kuifanya moja kwa moja kuwa smart bila kuongeza chochote zaidi ya kubadili mainboard tu
 
Hzo android box hazichagui model ya TV?
Hazichagui model ya TV.
Unachomeka HDMI cable, na inakuwa tayari kwa matumizi.
yema kama unajua nunua online au muagizishie mtu akuletee online.
-amazon fire tv kwa budget ndogo around laki 1
-xiaomi mi box around 150,000
-Nvidia TV shield around laki 3 hadi 4
Kwa watakao hitaji kuagiza vifaa hivi utaratibu uko hapa: Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

Kutokea USA (amazon) inachukua wiki 2, Na kutokea China (aliexpress) inachukua wiki tatu
 
Back
Top Bottom