Kama mzazi, Dada au Kaka nadhani ni kitu kizuri kama utajua Dalili kua mwanao anafanyiwa ukatili. Tatizo kubwa hapa nikuwa wengi wanaofanyiwa hivi hufanyiwa na watu wao wa karibu, watu ambao wewe kama Mama au Baba unawaamini na watoto huwaamini hivyo kuwa shida kugundua.
Kwamba ukaribu kama wa...
Mahakama nchini Kenya imeamuru kituo cha kulelea watoto wanaoishi kwenye mazingira magumu katika Kaunti ya Machakos kifungwe mara moja, kufuatia tuhuma kuwa wavulana tisa walikuwa wakinajisiwa kwenye kituo hicho.
Idara inayoshughulikia watoto katika Kaunti hiyo ilipokea amri ya mahakama na...
Mkazi wa kijiji cha Mitonji,kata ya Mbuyuni wilayani Masasi Mkoani Mtwara,Dismasi Malikitu maarufu kizito,anashikiliwa na jeshi la polisi kwa kosa la kuwauzia wananchi nyama ya mbwa huku akiwadanganya ni nyama ya mbuzi.
Mtendaji wa Kijiji cha Mitonji,Yunisi Makolo amethibitisha kuhusu tukio...
Muungano wa majimbo 16 nchini Marekani yakiongozwa na California yameushtaki utawala wa Rais Donald Trump kuhusu uamuzi wa kutangaza hali ya dharura ili kukusanya fedha za ujenzi wa ukuta wa mpakani na Mexico.
Kesi hiyo imewasilishwa katika mahakama ya wilaya ya kaskazini katika jimbo la...
KENYA inakumbwa na uhaba wa tani 1.7 milioni za viazi kwa sababu ya wakulima wanatumia mbegu mbovu zisizotoa mazao mengi, Waziri wa Kilimo, Mwangi Kiunjuri amesema.
Uhaba huo umefanya bei ya viazi izidi kupanda na kuwafanya wafanyabiashara kuagiza zao hilo kutoka mataifa ya nje.
Mbali na...
Jeshi la Marekani limetangaza mipango ya kutaka kununua na kujaribu mfumo wa ulinzi dhidi ya makombora wa Israel kwa jina Iron Dome.
Mfumo huo unaotumia rada na kutungua makombora kwa lengo la kukabiliana na tishio lolote umekuwepo tangu 2011.
Idara ya ulinzi nchini Marekani imesema kuwa mfumo...
Jiko la mkaa lililokuwa ndani limesababnisha vifo vya watoto wawili baada ya kukosa hewa wakati wakiwa wamelala usiku.
Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo Jumapili Februari 3, 2019, katika mtaa wa Kebaga, wilayani Tarime mkoani Mara kwa watoto hao Witness Machugu (1) na Christina Marwa...
Watoto watano wa familia moja wakazi wa Shehia ya Shanake wilayani Micheweni kisiwani Pemba, wamefariki dunia na wengine wawili akiwemo mtu mzima mmoja wamelazwa katika hospitali ya Micheweni wakiendelea kupata matibabu baada ya kula samaki aina ya kasa kibati wanaosadikiwa kuwa na sumu
Daktari...
Mchezesha Muziki Nchini Uganda amepatwa na mauti baada ya kuvamiwa na kundi la vijana waliompiga kwa kosa la kuweka wimbo ambao hawakuupenda walipokuwa wanacheza muziki kwenye ukumbi mmoja uliopo wilayani Nebbi nchini humo.
Dj Jerry Okirwoth alikuwa ni mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule...
The Songwriters Hall of Fame announced their 2019 inductees today: Dallas Austin, Missy Elliott, Tom T. Hall, John Prine, Jack Tempchin and Yusuf (Cat Stevens).
Missy Elliott will be the first woman in hip-hop inducted into the Hall, and only the second rapper after Jay Z. Elliott is being...
Baadhi ya watu wameitumia mitandao ya kijamii kupunguza misongo ya mawazo kwa kuwasiliana na watu mbali mbali na kujikuta wamefarijika katika matatizo walonayo. Wataalamu wa saikolojia wanashauri mtu anapokuwa na matatizo ni vema akaishirikisha jamii ili kupunguza mzigo wa kuchukua matatizo peke...
Miaka ya zamani na hata sasa,kuna familia ama koo ama jamii ambazo bado zinaendeleza utaratibu huo wa shuka analolalia bibi harusi mara baada ya harusi kufungwa ili kujua kama ni BIKRA, ina maana yoyote katika kizazi chetu cha leo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.