Recent content by Piscine

  1. P

    Naoa, karibuni sana

    Hongera sana brother..
  2. P

    Nyie wanawake maisha sio muvi tu

    hahahaha ahahaha twende kulala ana wivu mpaka na tv anahisi inafaidi.
  3. P

    Mchepuko wangu ametegwa kwa dawa

    mchukue mrembo tafuta jani bichi unalipiisha pale kati ya mapaja likitoka kama lilivyo your safe likitoka limekauka two things involves....... Mateso yote ya nini mademu kibao tu.
  4. P

    Mchepuko wangu ametegwa kwa dawa

    Nenda ukanase brother! hahahaha hahaha
  5. P

    Nashindwa ku move on

    Pole dadaa kwanza jiangalie na wewe may be kuna ulilolifanya kwake akatoka. Bado unanafasi lkn mwombe Mungu atakufungulia njia.
  6. P

    Wanaume Kuchamba Kwingi Mnaoa Magumegume Yaliyomshinda Mtume. Anahaha kuchepuka na X wake! Hovyooo!

    lara1 you are the best, ninaposoma thread zako napata zaidi ya burudani.
  7. P

    Ushauri: Napenda kufanya mapenzi na watu walionizidi umri

    hahaha hahaha umenifurahisha sana, umenikumbusha jamaa moja anauza dawa asili pale stand ya mbagala husema hizo dalili zao. kuota ndoto upo na wa2 wafupi sana au warefu sana ni dalili zao. kijana angalia huenda dalili zao za mashetani mahaba
  8. P

    Ushauri: Napenda kufanya mapenzi na watu walionizidi umri

    msaada wa nini sasa mapenzi yako mwenyewe, umri ni namba tuu.
  9. P

    Conditional IF STATEMENT

    mh dewa pale informatics c++
  10. P

    Kuna ubaya gani kumpa zawadi hii?

    Ndugu yangu elimu sio kitu tena, wa2 wapokitaa hawana kazi na shahada zao za juu daraja la kwanza. Unaambiwa kazi ni kazi elimu yako unaweka kando unapotafuta maisha. Jamaa kawaza jambo la maana lkn demu anazingua wakati mafundi wanapiga pesa kitaa naelimu zao za std 7. Tatizo hapo demu anajio...
  11. P

    Ha ha ha haaaa

    hahahahahaaahhaaaha asante sana
Back
Top Bottom