Mchepuko wangu ametegwa kwa dawa

Mchepuko wangu ametegwa kwa dawa

1 Wakorintho 6

9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti,
10 wala wevi, wala watamanio, wala walevi, wala watukanaji, wala wanyang'anyi.

Hapa umepatia kabisa...akiwa kiburi ajiangamize nafsi yake mwenyewe.
 
Usijaribu hata kidogo hayo mambo, utajuta kuzaliwa maana lisemalo lipo kama halipo linakuja.
 
mchukue mrembo tafuta jani bichi unalipiisha pale kati ya mapaja likitoka kama lilivyo your safe likitoka limekauka two things involves.......

Mateso yote ya nini mademu kibao tu.
 
mchukue mrembo tafuta jani bichi unalipiisha pale kati ya mapaja likitoka kama lilivyo your safe likitoka limekauka two things involves.......

Mateso yote ya nini mademu kibao tu.

Hahaha umetisha mkuu!
 
Back
Top Bottom