Unakuta mtu anataka muwe mnaishi maisha ya kuigiza ya kwenye muvi za kikorea!Tupo Africa sio korea na wale wanaigiza ili wapate hela ya kuendesha familia zao.Mambo ya kulazimisha waume zenu kuangalia muvi za kipumbavu kama zile ni upuuzi.
Unakuta mtu anataka mkae wote muangalie muvi za Kikorea ili muanze kuigiza na nyie ndani ya nyumba ukitaka kuangalia mpira hata, ukitoka kwenda kibanda umiza anachukia, sasa mi nifanyeje?Mnaboa aisee na kutaka kufundishana maisha ya maigizo!
Anyway msinimaind sana kuna mwenzenu kaniboa huku, ningekaa kimya ningemdunda mangumi!
nyie watu mnaboa kwa kweli.
inahitaji uvumilivu wa hali ya juu kumvumilia mtu anayetaka kukufundisha uishi maisha ya kwenye muvi za kikorea na wewe unatambua ni African man.
muvi zake unamwachia aangalie ila ukitaka kuangalia mpira tu, utasikia twende kulala!!
kwa hiyo mie nisiangalie hobi zangu?
Teh teh..Mkuu mwache aendelee kuangalia tu hizo..Wangu nilikuwa namletea zengwe la kuangalia hizo tamthilia basi akahamia kwenye movie za kivita,action na za kinaijeria..Now nyumba ndo imekuwa chungu zaidi
Hahahahah sipati picha...... mwendo wa tish tish tishhhhhhhh(mlio wa bastola huo tafadhali) heheheheheh
Heri ungemuacha na wakorea wake...halafu angehamia kwenye historical korean drama akhaaa maisha yangekuwa burudani
Sasa ukimuudhi atahamia telemundo lazima udate
Teh teh..Yakinishinda ntakuja kuomba hifadhi kwako..Si una chumba cha wageni?
Huku kwangu utazimia kabisa mwendo wa series tu ...remoti namiliki mwenyewe
Ha ha ha...Nyie wanawake ni shida kwa kweli..Hapo ukikaa kwenye series basi hakupikiki wala hakuliki
heheee na wewe unavyomlazimisha kuangalia mpira je?
maisha siyo mpira tu maisha ni pesa..wale wa man u wanatengeneza pesa wewe unabaki kushangilia na kukauka koo huku hata pesa ya bia haupati.
nyie watu mnaboa kwa kweli.
inahitaji uvumilivu wa hali ya juu kumvumilia mtu anayetaka kukufundisha uishi maisha ya kwenye muvi za kikorea na wewe unatambua ni African man.
muvi zake unamwachia aangalie ila ukitaka kuangalia mpira tu, utasikia twende kulala!!
kwa hiyo mie nisiangalie hobi zangu?
Ha ha ha...Nyie wanawake ni shida kwa kweli..Hapo ukikaa kwenye series basi hakupikiki wala hakuliki
basi pole ila acha ubabe wewe.. ongeza tv ya pili na head phone za kutosha kila mtu ageukie kwake