Pole ww mnyanyase unavyotaka ww,cz kama unatambua unayomfanyia siyo sawa basi ujue unafanya kusudi ila nalotaka kukwambia ipo siku atachoka ataamua ku move on na maisha mengine na wala kurudisha hvyo vitu vyako hataona tabu ila ndo hataka kutaka tena kamwe so kama unajua unampenda na kumuhitaji...
Kama bdo unampenda mrudie kilichowafanya mtengane ukirekebishe,cz inaonekana bdo unampenda hata ukiwa na mwingine inaweza ikawa ndo mawazo yaleyale tuuu
Ww amini unachokiami,mwache na mwenzio amini Cha kwake cz unaposema atoke alipo je unauhakika gani kama wewe hapo ulipo ni mahala sahihi usifanye mchezo na imani ya mtu wewe.
Endeleen hivyo hivyo kukumbatia hayo majini yenu na kuyaamini ila mm kwangu hayana nafasi maana ypo mungu aliyeniumba ndo ninaye mtegemea kwenden hko na imani zenu za kipuuzi,badala ya kusali na kumuomba mungu unaenda kulikumbatia na kulisifia lijini mxuuuuu!!!!
Ushajijibu mwenyewe kuwa nchi yao imeweka mkazo, sasa kama serikal imeweka mkazo ww unahisi wanaweza wakateswa kweli wakati nchi yao inafuatilia maendeleo yao, mbona unajitekenya na kucheka mwenyewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.