Recent content by piompio

  1. P

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake muelewe, sio kila mwanaume anayekupa hela anakutaka kimapenzi

    Mwiba mkali sana kwa mabinti wetu wa skuizi wasiokua na maadili
  2. P

    JamiiForums Tanzania Pata ushauri, michango na mawazo ya ufugaji wa bata wa kienyeji kibiashara

    Natumaini watakuja wajuvi watakupa Msaada unaohitaji . kilichonishangaza ni kukimbia ufugaji wa kuku kwa sababu ya changamoto . je kwenye bata hutakimbia tena
  3. P

    JamiiForums Tanzania Diwani wa Ambulen, Arumeru abwaga manyanga! Atangaza kumuunga mkono Rais Magufuli

    Na wachaguliwa wapya watajiuzulu tena na hii movie haitaisha
  4. P

    JamiiForums Tanzania Nataka kujua bei za mihogo, shamba lipo kibaha, ekari tatu

    Hili swali hata mm nahitaji jibu lake
  5. P

    JamiiForums Tanzania Nina 70,000 natafuta AZAM king'amuzi na dish used Mwanza

    Model gani
  6. P

    JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Mkuu ONTARIO shukrani sana kwa hii elimu , haya makitu nilikua nayaona kwenye muvi zangu pendwa za wamarekani . machalii wadogo wadogo wako geto wanacheki hayo machat yakipanda na kushuka wanashangilia wakipiga hela . nikubali kua umetupita sana kwa mengi baadhi ya vijana kwa wazee tuliopo...
  7. P

    JamiiForums Tanzania Tunauza nyama ya kitimoto

    Mnafanya delivery kuanzia kilo ngapi
  8. P

    JamiiForums Tanzania Shamba linauzwa Kingorwila

    Unamaanisha 5500 na 4500 kwa lugha uliyoandika . mbona bei rahisi sana ?
  9. P

    JamiiForums Tanzania Kwa aliepigika tu niuzie smart tv

    Nimeshapata lg wadau
  10. P

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    HD dvd player
  11. P

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Microwave yenye uwezo wa kuoka
  12. P

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Tupe ofa zaidi za mizigo mingine
  13. P

    JamiiForums Tanzania Watu wa Temeke mnaaishije bar chafu na hazina warembo?

    The great park
  14. P

    JamiiForums Tanzania Kwa aliepigika tu niuzie smart tv

    Pamoja na wall bracket nakupa hii hela
  15. P

    JamiiForums Tanzania Msaada ; Kutengeneza conversation fake

    Asante kwa aliyepost app ya yeez asee ni kiboko nimemaliza kila kitu
Back
Top Bottom