Recent content by PingPong

  1. PingPong

    JamiiForums Tanzania Ugonjwa wa Homa ya Ini (Hepatitis B): Dalili, ushauri wa kinga na tiba yake

    ARV??? Umehakikisha kuwa ana HIV infection huyo mgonjwa?, kasema kaka yake amekutwa na hepatitis.....unaweza ukapata hepatitis bila hata ya kuwa muathirika, ingekuwa vyema kumshauri apimwe na HIV lakini sio kwenda kwenye conclusion kuwa aanze ARV....tujitahidi kuwajibu watu maswali na kutatua...
  2. PingPong

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli: Viva Rais Magufuli, viva Tanzania

    Kwa hali tuliokuwa tumefikia kama nchi tunahitaji mtu mbabe kama huyu.... Kwenye ubabe wapo wengi watakaoumia maana haikuwa kawaida kuishi maisha ya kibabe. Kama umeumia kwa namna moja au nyingine, pambana na hali yako mpaka utakapoweza kuendana na speed ya kibabe.
  3. PingPong

    JamiiForums Tanzania Imeniuma sana baada ya kukuta hii meseji kwenye simu ya mpenzi wangu

    Mtoto kaumbika kweli kweli.....then unataka uenjoy peke yako.....sio fair Maana: Ukiwa na mwanamke mzuri anaevutia kwenye macho ya vidume, uwe tayari kisaikolojia kushar love hasa kama mwanamke mwenyewe hajitambui.
  4. PingPong

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wanajeshi wa Tanzania wanashambuliwa DRC?

    Ni kweli inasikitisha ila kwenye zoezi la peace keeping in military level automatically kutakuwa na watu wa kuumia na hata vifo....so tuamue tu kujitoa kwenye zoezi au tuendelee....tukiendelea lazima tukubaliane na yote maana sio kila siku utakuwa unapiga tu, lazima kuna siku utapigwa na wewe...
  5. PingPong

    JamiiForums Tanzania Vituo vya Afya..

    weka picha
  6. PingPong

    JamiiForums Tanzania Maji marefu

    watu na madegree yao kibao hawamfikii
  7. PingPong

    JamiiForums Tanzania Like faza like son

    Shule zimefungwa
  8. PingPong

    JamiiForums Tanzania ARUMERU: Mbunge Nassari anusurika kuuawa kwa risasi na watu wasiojulikana. Wammiminia risasi kama mvua Nyumbani kwake

    Hivi aliekuja kwa dhamira kukuua huwa anashindwa kujua unapolala?....huo ni uvamizi tu kama uvamizi unaofanywa kwa mtu yeyote ......bongo kila kitu kinakuwa handled politicallly....wanasiasa mnatuchosha na movies zenu zisizoisha
  9. PingPong

    JamiiForums Tanzania Msanii Wema Sepetu arejea CCM, aitosa CHADEMA

    NJAA NOMA SANAo_O
  10. PingPong

    JamiiForums Tanzania Mwijage: Ndani ya miaka miwili tumejenga viwanda 3,006

    :D:D:D.....tulisema kila kiwanda kiwe na power bank yake
  11. PingPong

    JamiiForums Tanzania Picha mbalimbali ndani ya club kampala,uganda mabebs wa ukweli,si za kukosa

    Hapo magonjwa ya zinaa nje nje....gusa unate
  12. PingPong

    JamiiForums Tanzania Quiz no 2

    The answer is....... 96
  13. PingPong

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Yoweri Museveni anatia aibu EAC

    Umeangalia kwa haraka mkuu...hiyo statement ina ujumbe mwingine ndani yake
  14. PingPong

    JamiiForums Tanzania Africa kumbe bado watu wanakaa uchi

    huyo alievaa nguo ni kama vile hawaamini hao majamaa....watampiga mtama
  15. PingPong

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Yoweri Museveni anatia aibu EAC

    Kumbe bado kuna East Africa Community :oops::cool:
Back
Top Bottom