Recent content by Pinball

  1. Pinball

    Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums, Maxence Melo anashikiliwa na Polisi, anyimwa dhamana

    Tumesoma Terms & Conditions za JF? Privacy Policy je? Kama Polisi walifuata taratibu kwa kupata kibali cha mahakama kuomba taarifa binafsi kutoka kwa mmiliki wa JF, basi alitakiwa atoe, otherwise ni ubabe wa polisi na mmiliki wa JF yuko sahihi kukataa kutoa taarifa hizo
  2. Pinball

    Eti 'nyota' ni sababu ya wachumba kushindwa kuoana?

    My last ex aliamini sana hayo mambo, alienda kwa wasoma viganja, "palmreaders", si akaambiwa bado haujakutana na soulmate wako, muda huohuo yuko na mimi, akaanza ku-pull off taratibu, saiv mwenzake nna jiko na mtoto mmoja ye bado anasubiri soulmate
  3. Pinball

    Nataka niachane nae kwa amani, nifanyeje?

    Kwa nini asiwe sehemu ya maisha mapya? Kama alikuwa girlfriend tu mvishe pete, ingia kanisani anza naye maisha mapya ya ndoa, huo ndio uanaume
  4. Pinball

    "Chopa" yaigharimu chadema mamilioni; anasa hizi mpaka lini?

    Ndugu yangu siasa ina watu wazito nyuma ya pazia huwez kuamin. Hiyo m. 150 inaweza ikatolewa na mtu mmoja tu anaye-support chama husika, chama tawala kinatumia much more than that katika shughul ambazo evidently ni wastage of money, mbio za mwenge to mention one. Na gharama hizo ziko katika...
  5. Pinball

    Tukumbushane ujinga tuloufanya pindi tukiwa watoto

    Nilikuwa naficha soda hadi wenzangu wanywe wote, wakishamaliza ndo natoa yakwangu na kuanza kuwaringishia........nakumbuka one time mshua alinipiga bao na kuinywa kisha akaacha kikaratasi kilichoandikwa "angel was thirst"..... Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
  6. Pinball

    Bora kumkimbiza Rais nchi nzima kuliko Mwenge

    Hebu huo mwenge uzimwe watu wakafanye mambo ya maendeleo jaman, hiivi unamulika nin sasa huko vijijin......si bora uanze kupita nyumba za vigogo wote pengine tunaweza hata tukauona upanga wa dhahabu wa IGP ulioibiwa???? Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
  7. Pinball

    Dushelele Lake, Linanitia Hofu...

    Mama, huyo ni mwanaume ambaye Mwenyezi akijaalia ndio mtazeeka pamoja, sio suala la kujaribisha, ni bora ukasolve kabla ya kusimama mbele ya mchungaji/shekhe, ongea na mama/mtu ambaye anajukumu la mama kwako kuhusu hilo tatizo Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
  8. Pinball

    Sijui nitatokaje hapa

    Fikiria sana kabla hauja-make any move coz things wil never b the same if it turns out in negative way....but there z nothing much better than growing in love with ur best friend.... Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Back
Top Bottom