Recent content by pin kubwa

  1. pin kubwa

    What's the story: Ulipataje kazi unayofanya au uliyowahi kufanya?

    rafiki yangu mmoja alinionyesha tangazo la kazi kupitia simu yake ya mkononi na kunisihi nijaribu bahati nilituma tena kwa njia ya posta bada after two weeks niliitwa kwenye shortlist tena kwa njia ya cm nilienda kufanya interview na kwa bahati shortlist tulikuwa wachache kama watu 23 tu...
  2. pin kubwa

    Kisutu: Erick Kabendera ashtakiwa kwa Kujihusisha na mtandao wa uhalifu, ukwepaji kodi na kutakatisha fedha haramu

    itaenda weee baadaye washtaki watakosa ushahidi mwishowe ataashiwa huru
  3. pin kubwa

    CoverLetter/Motivational Letter

    KAZI kwelikweli😂😂😂😂
  4. pin kubwa

    Naomba kujuzwa kuhusu kilimo cha tumbaku Tanzania

    very true yani hakuna zao lenye changamoto kama hilo na hata wanaojidai wamefanikiwa ni kwa sababu ya kuwanyonya wakulima wenzao yaani dhuluma kibao
  5. pin kubwa

    Naomba kujuzwa kuhusu kilimo cha tumbaku Tanzania

    kilimo cha Tumbaku kinalipa lakini sidhani kama wewe kwa ulipo kama kitaakulipa kinachangamoto nyingi sana ambazo usipovumilia unakula hasara
  6. pin kubwa

    Tuhuma za mauaji: Nimehojiwa na Polisi, nimetimiza wajibu wangu

    kila jaribu hapa duniani lina mlango wa kutokea
  7. pin kubwa

    Kaka yangu anatembea na mama mkwe wangu

    kiukweli hakupaswa in case wakazaa mtoto atakuwa anawaitaje ?
  8. pin kubwa

    Hamisi Kigwangalla ni-tayari kwa mdahalo na mtu yeyote yule!

    niliona umepevuka akiri ulivokuwa unashupaza mishipa katika kutetea Apex isiondolewe katika sheria mpya ya ushirika kwa hilo ulikuwa sahihi lakini kumbe bado mbulula hasa ulipotumia muda wote uliopewa kujadili katika kumtukana mbowe nadhani ulitaka kujisafisha maana wabunge wenzio wote magamba...
  9. pin kubwa

    Red Brigade: Kikundi cha mauaji, watekaji, wamwagia sumu na "nchi kutotawalika"

    -------- sio tusi ni sifa .. MWIGULU NI --------
  10. pin kubwa

    Nampongeza mh.Said Juma Nkumba

    Wewe ndhani huijui skonge hivi Nkumba ni wakusifia kwa lipi kama angekuja na jipya angeleta mkakati mpya wa kuipatia skonge maji wa maana hapo angeeleweka
Back
Top Bottom