Tulioomba kazi IHI ya field interviewer,.tupeane updates

icca

Senior Member
Nov 8, 2014
180
169
Habarini wanajamvi,.
kwa wale tulioomba kazi ihi ya field interviewer tupeane updates,.
kuna ambao wameitwa au bado?
 
Pole Sana watu wako field mkuu toka j3 tarehe 22 baada ya kimaliza pilo
Ndo NGO za bongo zilivyo,Kuna mdau namfahamu alibahatika,waliitwa wenye watu wao pale na interview haikufanywa
 
Habarini wanajamvi,.
kwa wale tulioomba kazi ihi ya field interviewer tupeane updates,.
kuna ambao wameitwa au bado?
Pole sana ndugu yangu.
Hawa walikuwa wanafanya training pale muhas chpe building tokea j3 hadi ijumaa.
Bongo kama hauna refa ni kumuomba mungu tu.
 
Wenzako mbona wapo mzigoni tayari labda haukuwa na connection maana hata interview hawajafanya.
 
Duh haya majibu ya wadau hapo juu yamenikatisha sana tamaa ingawa ndo hali halisi
 
Back
Top Bottom