Recent content by pimbika

  1. P

    JamiiForums Tanzania Mnyika, Nape, Mtatiro na Mvungi wanapambana ITV ktk kipima Joto

    Kijana Mnyika amechambua vizuri.
  2. P

    JamiiForums Tanzania Mnyika, Nape, Mtatiro na Mvungi wanapambana ITV ktk kipima Joto

    Mnyika yupo juu, tazama anahamasisha kuliko Dr. Mvungi.
  3. P

    JamiiForums Tanzania Jerry Silaa kashindwa kazi?

    Haka kajamaa ni kazugaji tu hamna lolote.
  4. P

    JamiiForums Tanzania Mazungumzo kati ya NAPE na Rtz kwenye simu

    magamba hamna jipya, pokeeni hizo laptops na hamtaweza.
  5. P

    JamiiForums Tanzania Rais Kim Jong Il aaga dunia

    hao jamaa wamekomaa kiintelijensia ndo maana china wanawapenda.
  6. P

    JamiiForums Tanzania Zitto ahamishiwa Muhimbili hospital kwa matibabu zaidi

    Mungu akuponye.
  7. P

    JamiiForums Tanzania Polisi, wananchi wajeruhiwa kwenye mgogoro wa ardhi Dodoma

    Malecela, Mh. Sinde na Simbachawene wawa tetee ndugu zao maana Dodoma wanaiamini ccm.
  8. P

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu PHD aliyopewa kikwete!

    Katika tasnia hii, ni uhuni. haiwezekani watu wakae kimya wakati mambo haya yanafanyika. Hata kama hayakusaidiii wewe, kwanini madaraja ya elimu yapo, namaanisha kuanzia shul;e ya awali hadi Phd. Wajukuu zetu tutawaambia nini wakitambua hayo? Kila jambo lina muktadha wake. Mazuri gani...
  9. P

    JamiiForums Tanzania The rise and fall of Colonel Muamar Gadaffi

    Pole zake alale salama.
  10. P

    JamiiForums Tanzania KipimaJoto ITV=CCM+TLP+NCCR+CUF-Chadema

    CDM hawachakchui hoja, wanajua nini wanafanya wanafikiri juu ya wananchi zaidi na si kulumbana na magamba.
  11. P

    JamiiForums Tanzania ITV Kipima Joto: Matumizi ya Rasilimali - KATIBA

    Tena anajiita Mchumi. ninawasi elimu yake.
  12. P

    JamiiForums Tanzania ITV Kipima Joto: Matumizi ya Rasilimali - KATIBA

    Magamba kashindw kutetea hoja. anafoka tuuuuuuuuuuuuu
  13. P

    JamiiForums Tanzania CUF waigawia ofisi yao CHADEMA

    Huu ni mwendelezo mzuri. Mung ibariki Chadema.
  14. P

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Tundu Lisu ndani ya viwanja vya Magomeni

    watakiona cha moto. hawaiwezi nguvu ya umma.
  15. P

    JamiiForums Tanzania Nape Kanda ya ziwa Hatudanganyiki, Hebu nenda na Shinyanga uone kazi nyingine

    Tena hana nidhamu akafie mbele.
Back
Top Bottom