Recent content by Pili Romwad

  1. Pili Romwad

    Kutoka kwa Askofu Bagonza (Phd)

    Falsafa za Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. __________ Tumemaliza hatua ya kutia nia. Sasa ni kuchukua fomu. Utafuata uteuzi. Mawili yamejitokeza katika utiaji nia na uchukuaji fomu. Kuna utitiri wa watia nia katika chama tawala na ukame wa watia nia...
  2. Pili Romwad

    Marekani wanasumbuliwa na Umasikini sio Ubaguzi

    Acha kubishana na wanachadema hao utaumia mbavu zako bure mkuu...
  3. Pili Romwad

    Marekani wanasumbuliwa na Umasikini sio Ubaguzi

    Mada bora kabisa ya kufungia mwaka 2020....
  4. Pili Romwad

    Trump asema Marekani kuwa na wagonjwa wengi wa Corona ni heshima ya kwamba vipimo vyetu viko vizuri

    Najivunia kuzaliwa Tanzania kwa sasa....MTU na heshima zake rais taifa kubwa anajivunia maradhi!!!?
  5. Pili Romwad

    Pamoja na jitihada zote ikiwemo ya lockdown jirani zetu Kenya, Uganda, Rwanda maambukizi ya Corona yanapanda iweje kwetu yashuke kutoka 509 mpaka 20?

    Mungu ibariki Tanzania Mungu Ibariki Afrika , Hapo ndipo nilipopazingatia sana, lazima mkuu wa nchi awatie moyo RAIA zake, vile vile tatizo LA corona linakuzwa zaidi na vyombo vya habari vya kimagharibi kuliko tatizo lenyewe.....
  6. Pili Romwad

    Against lockdown

    Fungeni mipaka kabisa na nchi ya Tanzania kila MTU ajue lake, katika vita hakuna udugu, nyinyi mbaki na uzima wenu na sisi tubaki na virus vyetu huo ndo msimamo wetu na hatupangiwi na yoyote yule, Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Pili Romwad

    Against lockdown

    Corona ni vita kuu ya tatu ya dunia kila taifa lina mbinu na njia zake kuweza kuhakikisha linaibuka mshindi, Tanzania imekataa na haitokubali kuchezeshwa ngoma isiyojua nani mpigaji, hatuwezi kuchezeshwa ngoma ya korona na watengenezaji wa korona wenyewe kwa malengo yao binafsi....hakuna haja ya...
  8. Pili Romwad

    Kwanini Serikali Tanzania inawachukulia poa diaspora

    Waafrika wanabaki kuwaua waafrika wenzao wakiamini ndo chanzo cha matatizo yao kukosa ajira...
  9. Pili Romwad

    Wakati wa kuhamishia Afrika iwe Makao Makuu ya dini zote duniani umefika

    Lipo jambo unaweza fikiri ni Shari kwako kumbe ni heri kwako, na lipo jambo unaweza fikiri ni heri kwako kumbe ni Shari kwako, Katik hili tatizo LA COVID 19 Magufuli JPM alifikiri litakuwa ni Shari kwake Hatimaye limemtakatisha sana duniani kwa msimamo wake.....hatimaye mataifa karibia yote...
  10. Pili Romwad

    Kwanini Serikali Tanzania inawachukulia poa diaspora

    Uraia pacha una faida na hasara zake mkuu....japo kwangu hasara ni kubwa kuliko faida....uraia pacha una faida kwa nchi zilizoemdelea sio nchi zetu hizi pangu pakavu....wanachuma afrika faida wanapeleka ulaya.....wakitumia mtaji walionao wa uraia pacha... Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Pili Romwad

    Shikamoo Iran: Licha ya mikwara ya Trump juu ya Iran kusafirisha mafuta kwenda Venezuela, mzigo wa kwanza umeshafika Venezuela

    Ndo tatizo LA kutegemea mabeberu kila idara ktk uchumi wa taifa lako....Hongera kwake Iran... Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Pili Romwad

    Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

    MTU unatuma meseji zaidi ya 150 kwa manzi lakini hupati majibu ya maana linatokea zee tu na meseji yake moja ya tigo pesa linamiliki mzigo, wanawake popote mlipo mlaaniwe.... Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Pili Romwad

    Mwanamke ni chombo cha starehe(?)

    Ilishaandikwa hivyo....hamna namna, Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom