Recent content by Pilato2006

  1. Pilato2006

    Kwa ongezeko hili la kodi kwenye Mafuta ya Petroli na Dizeli tutarajie maisha ya wanyonge kuwa magumu sana

    Kwa wale wa DSM wenye magari ya petroli nawashauri mfunge mfumo wa gas ya songas. Bei ni chee sana
  2. Pilato2006

    Mbunge wa Jimbo lilipo daraja la Wami, msaidie huyu mama

    Hana Comrehensive insuarence?
  3. Pilato2006

    Rushwa: Trafic aliyekuwepo barabara ya Sinza karibu na njia ya kwenda Simu 200 Amepokea rushwa asubuhi ya leo

    Acha ushamba na wivu. Book mbili nilifikiri 2,000,000. Wansota juani hiyo si ya maji tu
  4. Pilato2006

    Malipo ya kukodisha Trekta kwa heka yakoje?

    Ilitakiwa kwanza uulize bei na maeneo nidyo unue hilo tractor. Sasa ww unafanya kinyume
  5. Pilato2006

    Msaada wa used Tractor

    Wadungu natafuta used tractor hasa Massey Furgason, ndani au nje ya nchi zenye bei poa. Hivi ushuru bado upo ?
  6. Pilato2006

    Ulimaji wa vitunguu

    Naomba Contact za LUMUNYA (MPWAPWA)
  7. Pilato2006

    Msaada: Pampu ya kumwagilia

    Pampu, du
  8. Pilato2006

    Msaada: Pampu ya kumwagilia

    Wanahanvi, naomba msaada wapi nitapata pampu ya kumwagilia maji. Iwe simple na gharama ndogo, au kama zipo za aina mbalimbali naomba msadaa
  9. Pilato2006

    Bomba la Mafuta: Kenya wamkomalia Museveni

    Kwani Tulishasaini Mkataba?
  10. Pilato2006

    Januari Makamba,kwanini unatulazimisha kusoma kitabu chako?

    Nilichokifanya mimi ni kwenda kuwashia mkaa hiyo Kityabu chake, yaani nilipata hasira balaa baada kupata kopi yangiu ya mwananchi.
  11. Pilato2006

    Msaada wa Kisheria (Matumizi ya Mto)

    Nataka kunua shamba, kando kando ya mto. Je niache umbali gani toka ukingoni, na je naweza kuutumia mto kumwagilizia? Sheria ipi inaelezea haya mambo
  12. Pilato2006

    Kuhusu Kilimo cha Ufuta

    Nina Ekari kadhaa nataka kulima ufuta, naombeni kama kuna soko wapi na mbegu wapi zinapatikana. Nani wanunuzi wakuu
  13. Pilato2006

    Picha na Habari: Rais Kikwete akifanya Mazoezi ya viungo

    Apone haraka ESCROW amalize. Kwa kweli ni majanga, bado miezi 10 aondoke
  14. Pilato2006

    Kiluvya vs Chanika

    Njoo Bunju, kama hicho unapata kwa 5m
Back
Top Bottom