Msaada: Pampu ya kumwagilia

Pilato2006

Senior Member
Aug 25, 2008
124
36
Wanahanvi, naomba msaada wapi nitapata pampu ya kumwagilia maji. Iwe simple na gharama ndogo, au kama zipo za aina mbalimbali naomba msadaa
 
Pump inategemea matumizi yako na umbali wa maji yalipo.... Kwa mfano unavuta maji toka kwenye MTO ambapo yako mita 100 tu... Kanunue Honda wpx 30 au kingmax... Zinauzwa sh. 290,000 hadi 340,000 kutegemeana na duka na mahala... Hizo ni za inch 3 diameter ya Bomba.... Ofcoz hizo pump ubora wake ni wa kawaida tu zinafaa kwa matumiz ya muda mfupi na wa kati....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom