Recent content by pido guy

  1. pido guy

    JamiiForums Tanzania Kwani kuotea ndevu nyumbani ndio kigezo cha kufukuzwa? Naambiwa nikajitegemee wanataka (wazazi) nife kwa njaa!

    Mimi nilitimuliwa home nikiwa na miaka 22 tu mzee kaniambia nioe au nikavue dagaa,niliondoka kweli na form four yangu ya 26 nikaingia mtaani nilianza kuchoma mawe na kupasua nauza nikawa nasukuma na mkokoteni kama mwaka mmoja hivi huku naishi kwa mama mdogo mwaka uliofuata nikaenda veta...
  2. pido guy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini ukioa mwarabu/ mhindi inakuwa ngumu kwa wanafamilia wa upande wa waarabu/ wahindi kujenga undugu upande wa mme wa binti yao?

    Wale watu wanajimudu kimaisha na sisi kinachotuponza ni ufukara ndo maana tunasema tuna upendo hakuna kitu kama hicho hapa duniani toboa life uone kama utakuwa na muda wa kujibana ukweni
  3. pido guy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni wakati wa serikali kuhalalisha biashara ya ukahaba ambayo inafanyika kimagendo

    Ukiona mwanamke anaongea kuhusu real man jua kabisa anamiliki danguro hawa watu wakutana na hawa real man huwa wanafeel good lakini wakikutana a man utasikia mwanaume gani wewe sasa
  4. pido guy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimelichoka penzi la huyu dada wa kizungu

    Nyie ndo machawa mnaumiza wenzenu kwa kujisogeza kwa maboss leo unataka ushauri
  5. pido guy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa wanaume wote tulio kwenye mahusiano tunapouanza mwaka 2024

    Duka lako liko wapi mwamba tujisogeze
  6. pido guy

    JamiiForums Tanzania Nina upungufu wa homoni ya Testosterone, low testosterone au male hypogonadism nitapata wapi dawa ya kupaka?

    We fala kweli kweli nimefurahi sana japo inaumiza
  7. pido guy

    JamiiForums Tanzania Nina upungufu wa homoni ya Testosterone, low testosterone au male hypogonadism nitapata wapi dawa ya kupaka?

    We fala kweli kweli nimefurahi sana japo inaumiza
  8. pido guy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume, nina miaka 24

    Huyu analenga pesa anajua akiolewa na mzee atakufa mapema kisha arithi pesa abaki mjane hana nia nyingine kaskazini ya malengo
  9. pido guy

    JamiiForums Tanzania UTI mbona imekua tatizo sana nahisi kuna ajenda ya siri

    Ebu chukua mwanamke wako mtibishe nawe jitibu jaribuni kutulia pamoja,zamani nilikuwa ninashida sana na huu ugonjwa nilimeza dawa sana sasa hivi nina miaka miwili toka nijitambue na kutulia now nainjoi
  10. pido guy

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

    Baadhi ya maeneo asubuhi kuoga maji ya baridi inahitaji ujasiri,je ukiyapasha kisha ukatia kiasi cha mkojo ukaoga kuna shida?
  11. pido guy

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

    Naomba kujua
  12. pido guy

    JamiiForums Tanzania Ushuhuda: Mkojo wangu wa asubuhi ulivoniponya

    Baadhi ya maeneo asubuhi huwa kuna baridi sana,je unaweza kupasha maji ya kuoga kisha utie hicho kiasi cha mkojo??
  13. pido guy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

    Je,ukienda pale Manyara hasa karatu [emoji739] babati
  14. pido guy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mabinti wa Kaskazini(Arusha & Moshi) Ni Tatizo, Wameshindikana. Be Warned!

    Niko kaskazini mwaka wa nne yote uliyoandika nayaona ni wabinafisi sana
Back
Top Bottom