Recent content by phreidyz

  1. P

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure Kuhusu umeme wa jua

    nataka kujua ilokugharimu kiasi gan kwa.system nzima
  2. P

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure Kuhusu umeme wa jua

    me nataka.kujua ilikigharimu kiasi.gani kwa system nzima
  3. P

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    njooo kagera kyelwa nije mbeya iringa moro ruvuma njombe idara ya sekondari 0765960075
  4. P

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo kagera nije wilaya ya songea sehemu yeyote
  5. P

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njooo wilaya ya mufindi iringa nije songea mjini au wilaya ya mbinga mjin idara ya sec 0767734214
  6. P

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    kama una mtu wa tarime kapangiwa kusini nijuze kaka
  7. P

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    jaman nahitaji songea moro na pwani mimi nimepangiwwa mara-tarime tuwasiliane 0767734214
  8. P

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    nimepangwa mara-tarime nahitaji kuja mbeya mjin songea mjin mbinga moro pwan tuwasiliane idara ya sekondar no yangu ni 0767734214/0688030057
  9. P

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    mimi nimepangiwa kwenda mara wilaya ya tarime natafuta mtu wa kubadilishana nae yeye aende mara mimi niende songea mjini namba angu ni 0767734214/0688030057
  10. P

    JamiiForums Tanzania Pcm na pcb kwenye physics

    chukua watu kazaa wanaosoma pcm na wengine wanao soma pcb ukiwauliza unaweza pata hints
  11. P

    JamiiForums Tanzania GPA yako ndo itakupa ajira

    dah fikiri vizuri jog coz GPA SIKU HIZI zinanunuliwa mtu anaweza kua na GPA kali ila ndani ya kichwa hewa
  12. P

    JamiiForums Tanzania Basi la Zuberi lapata ajali Singida

    daaah pole xana kwa waathirika
  13. P

    JamiiForums Tanzania Dr.Charles Kitima: Francis Mutungi asinunuliwe na chama tawala kama yule aliyepita!

    big up kitima mkuu wangu
  14. P

    JamiiForums Tanzania Boti ya Mv Kilimanjaro II kutoka Pemba kuelekea Unguja yanusurika kuzama

    Ee Mungu waokoe wana wako
  15. P

    JamiiForums Tanzania Safari ya kuelekea Ikulu imeanza kwa kasi ya kuwapumbaza waendesha bodaboda?

    me yangu macho tu tumechoshwa na hiz siasa miaka ka 52 hv ya uhuru lakini bado sioni mwelekeo wa taifa hili, nasema tumechoka tunahitaji mabadiliko
Back
Top Bottom