Recent content by phoncechriss

  1. phoncechriss

    KERO Police TMS check haifanyi kazi tokea Desemba 2024

    Update nilitumia app ya GePG nikafanikiwa kupata controol number ila nimekuta penalty fine ya 30k nimelipa 60k yote
  2. phoncechriss

    KERO Police TMS check haifanyi kazi tokea Desemba 2024

    Yani changamoto nna daiwa nimeshindwa kupata control number tangu December shida ni nini na mbadala wake tusaidiwe
  3. phoncechriss

    Mpaka Sasa hakuna Katuni ya kufurahisha Kama Tom na Jerry

    Rick and morty kama unapenfa sci-fi
  4. phoncechriss

    Programming language: Wapi tunakwama kujifunza?

    Shida ni watu hudhani ku code ni kitu tu simple yani you drag something and drop there Ukitaka ujue ku code vzr kama hujasoma kozi za computer chuo yani unataka ufanye self learning anza kwanza kujua computing devices na internet zinafanyaje kazi hapo utajua programming ina play role gani...
  5. phoncechriss

    TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Voda wanatwist sana maneno sio wa kuwaamini Ushauri wangu Option no 1 ambayo nina uhakika nayo na ni affordable - Zuku Fiber Hii naitumia dukani iko vizuri sana ni 69,000 kwa mwezi Unlimited speed 10Mbps (shared) Hawa wako vzr mno hakuna downtime wala mtandao kukata kata na speed yao...
  6. phoncechriss

    Ulinzi wa TV kutoka na umeme

    Hakuna nyumba ambayo haina circuit breaker hizo ni requirement za Tanesco umeme unaotumia ndani umeshapita kwnye hiyo circuit na kazi yake kubwa ni kulinda nyumba incase of electric shock au radi na vitu vingine vikubwa Swala la kulinda TV unatumia TV guard maana circuit breaker...
  7. phoncechriss

    Tetesi: TTCL Kusambaza Internet Bure Majumbani na Maofisini. Bili ni kwa Mwezi

    Nchi gani Dar hapa zuku nalipia 69,000 kwa mwezi unlimited speed ya 10Mbps ( Shared) na iko spidi sana sijawahi ona sehemu ina load maana wanakuungia fiber moja kwa moja Inaonekana hujui vitu hizo nchi zingine ndo hata walishasahau bili z ainternet znalipwa kama bili za maji monthly
  8. phoncechriss

    Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

    Kwa iOS vipi naona bado , na huku tuna shida kila nikiingia naambiwa sija log in yan niki exit app na kurudi naambiwa sija login ila muda inabidi ni login
  9. phoncechriss

    Kwanini gari aina ya Nissan X-trial used zinauzwa cheep sana?

    Mkuu hapo hadi u sign in ndio unaona test results
  10. phoncechriss

    Simbanet internet gharama utata

    Na installation ni bure
  11. phoncechriss

    Simbanet internet gharama utata

    Wanakuungia fiber cable direct hadi kwenye router sio wireless
  12. phoncechriss

    Simbanet internet gharama utata

    Natumia Zuku nymbani na ofisini Tsh 69,000 per month unlimited 10Mbps Dedicated iko fasta sana nshasahau mambo ya voda sio nini
Back
Top Bottom