Simbanet internet gharama utata

Simbanet internet gharama utata

Habari Wadau hope wote mpo poa

Sasa wakuu kwa sisi wengine internet no very important na mitandao ya simu nu zengwe fupya mpini yaand unaenda Huuliza unlimited internet unaambiwa 50,000 lakoni ajabu Kana limot 50GB

Mimi nikaona usiwe tabu nikawa natafuta Unternet mbadala ndoo hapo na kaingda SIMBANET aisee

gharama nolizokuta huko nimekimbia

Instalation 1,400,000/=

Bando per mounth 550,000

Sara wadau nauliza hizo gharama ni kweli au wanataka Kundpoga

Naombeni msaada mm nipo Gongo la Mboto

Wewe elimu yako ni darasa gani, maana ulichoandika na ku-post ni upupu kwa kweli. Sijui wasomaji wenzangu kama mnaelewa vizuri alichoandika huyu bibi/bwana.
 
Hizo gharama ni zaidi ya internet ya Elon Musk ( Starlink )

Hawa dawa Yao ni Starlink ikifika Tanzania ofisii zao watafugia kuku na BATA ...

Ingia humu uone kama tanzania huduma za Starlink zimeshafika.

Unachofanya unaagiza dish linakufukia hata kama unaishi Nanjilinji, Vifurushi unakuwa unalipia Kwa Kadi. Na Vifurushi vyao ni cheap kuliko hivi vya kinyonyaji + speed ya internet Yao ni ya kiwango cha juu kuliko hii ya Mitandao yetu ya kinyonyaji

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Wewe elimu yako ni darasa gani, maana ulichoandika na ku-post ni upupu kwa kweli. Sijui wasomaji wenzangu kama mnaelewa vizuri alichoandika huyu bibi/bwana.
mkuu dhumuni apa nikuelimishana mm zuku walipokuja kufunga waliniambia ni dedicated
 
Kama kitu hujui wewe ndio uliza,
Unapigaje hio simu? Kwa hizi viber kutumia server za marekani? Mtafute mtaalamu yoyote wa Networking atakuelezea jinsi network ya jengo inavyoweza kutengenezwa.

Hata wewe unaweza ukatest mwenyewe kwako ama hapo ofisini kwenu, ukiwa na router vifaa vyako vyote vinakuwa on same network, vinaweza kuwasiliana, kushare files, etc.

Sasa Simbanet inafanya Branch za kampuni Zote nchi nzima kuwa on same network.

Kwa Simbanet nimeshaona kampuni fulani system zao zinazofanya kazi. wana software (Erp) inatumika Nchi nzima, report, mawasiliano, data Feeding na mambo mengine yanafanyika ndani ya kampuni tu, hata ukiweka modem ya Voda haifanyi kazi.

Mkiwa on same network mnakuwa secure sababu vitu vyote vinafanyika ndani yenu, server zenu, Voip yenu kila kitu chenu.

Hii graph yao inaelezea vizuri sana
mpls.jpg

Dedicated means mnakubaliana mfano umechagua 5mbps wanakupa Exactly hio speed, wakati shared utaona kabisa wanaandika up to, ikishuka wao huwezi wafanya chochote.

Pia dedicated inakuwa na uptime mliokubaliana, leo zuku inaweza kata siku nzima ama Voda ama Tigo, sana sana wataomba msamaha ama kupotezea, ila dedicated mnakubaliana uptime fulani unaweza kushitaki ama kurefund etc.

Kampuni inayonunua Simbanet likely mtu wa IT haji, pengine ina Team ya watu wa IT wameajiriwa.

Nyuzi kibao zipo Humu, 20mbps Vodacom 115,000 Superkasi. Unlimited.
Kampuni inayonunua simbanet pia zingine hazina IT wao mfano kuna apartments nyingi za kishua zina simbanet hazina IT, pia baadhi ya kampuni ndogondogo zenye hela pia hazina IT unakuta tu staff wa muhimu tu ila ofisi kali.
 
Kwa zamani sawa, sababu Fiber zilikuwa Adimu. Ila kwa sasa no need small business ama Apartment kuweka Simbanet hali ya kuwa kuna zuku, Home faiba, Raha na wengineo. Kama mtu ameweka maybe hayupo Informed.
 
Kibamba vipi tunaweza kupata zuku/fiber? Nikienda town kwa wadau wanaoishi kule naona wivu sana, ukutani kuna router kubwa, tv full Netflix, watoto busy na tablets, dingi liko na laptop yake yani internet full. Nawasha wifi yangu nazugazuga kama lisaa hivi nakua nimeshusha mzigo wangu wa kutosha.
 
Zuku hawajafika nje ya katikati ya jiji. Mwisho kkoo, upanga mpaka Kinondoni ya Morocco.

Sema hio voda Superkasi 20mbps kwa 115,000 si mbaya. Sababu Zuku 10mbps ni 70,000. Munaweza kuchanga Familia 2 mkagawana 10mbps kwa hio 67500. Ama kujibana Hata familia 3 ama 4 mnatumia, uwe tu na Router nzuri ili msije Dhulumiana speed.
 
Hiyo superkasi ni unlimited kama zuku? Tatizo huku familia nyingine iko kama mita 15 so kushea sijui kama tutaelewana. Ila iyo ya zuku ni affordable kabisa kwangu pekeyangu inaniuma sana iyo sijui kwanini hawaileti nje ya mji.
 
Hivi chifu vida superkasi wanakufungia antena au ni line tu unapachika kwenye router
 
Hiyo superkasi ni unlimited kama zuku? Tatizo huku familia nyingine iko kama mita 15 so kushea sijui kama tutaelewana. Ila iyo ya zuku ni affordable kabisa kwangu pekeyangu inaniuma sana iyo sijui kwanini hawaileti nje ya mji.
Yap ni unlimited.

Mita 15 hapo mpaka utengeneze mesh ya router kama 3.
 
Back
Top Bottom